Nimekuwa nikiona hii tabia mara nyingi,mara kwa mara wanawake wamekuwa wakigeuka au kuwaangalia wanawake wenzao makalio wanapopita.Kama akiwa anamzidi makalio,utamuona anabetua midomo kwa dharau...
Mimi huwa siwaelewagi hawa watu wanaoitwa ma Ex.
Unaweza kuachana na mtu na kila mtu akawa na maisha yake labda Kaoa/Kaolewa, ila kutwa kucha kakuganda utafikiri alizaliwa na wewe.
Mtu kama...
Habari wanaMMU.
Wanaume wamekuwa na tabia ambayo huenda hawajajua madhara yake au hawajafahamu nini matokeo ya kile wanachokuwa wanakifanya kwa wakati husika huko mbeleni.
Inatokea anakuwa na...
Kama kichwa cha habari inavyojieleza. Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimeajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa mjini. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuishi katika na kutimiza wajibu wake...
Siku hizi naona wadada kibao wa mjini wamejichora ma tattoo.
Wengine zipo shingoni, mgongoni kwa juu karibu na bega, mikononi, miguuni, mapajani na kwingineko.
Bado sijakutana na mwenye tramp...
Wadau, hebu fikiri wakati wewe ukikua uliamka asubuhi na kuchukua Fagio na dumu la maji, kisha ukawahi namba asubuhi Kwenye mstari shuleni japo kuna baridi lakini ilibidi ukimbie kuwahi, baada ya...
Hivi kweli mwanaume unakua unajua hili ni shoga alafu unatembea nae mtaani na kupiga nae stori, kiukweli hili swala linatudhalilisha sana sisi wanaume kwa uelewa wa haraka, pia mwanaume na ndevu...
Kuna baba kakosana na mkewe but kwa mujibu wa maelezo ya watu wengi yaani majirani zao wanadai mke ndo mkorofi, yule mwanaume ananitaka sana anioe mimi, sasa mimi nikamtest nikamwambia anifungulie...
Igweeeeeeeeeeeeeeee!
Leo nimefanya final trial ya kujiweka kwa Oskoni ika bumaaaa. Nimeamua kufanya maamuzi magumu ya kumnawa jumlaaaaaaa, jumlaaaaa. Nimefuta namba zake zote, nime mblock na...
Wavulana wanatembea na Selfie Stick ila daima wanaume wanatembea na cheque book,wavulana wanatafuta sifa ili wasifiwe na warembo ila wanaume wanajenga heshima na kuitunza heshima,wavulana...
Habari wadau wa G.T/JF.co.tz.org,
Nimekuwa nikifirikiria sana juu ya hawa watu waliopewa dhamana ya kuwapa watu ajira, unakuta dada wa watu amesoma vizuri na sifa zote anazo lakini akifika kwa...
Ndoa yoyote inapitia hatua tano muhimu.
Hatua ya pili ni wakati hatari sana kwa wanandoa bila ya msaada wa Mungu na ndio nitaiadress kwa leo:
Wanandoa:-
-Wanapoa: Taratibu na kawaida za kila siku...
Habari wadau,
Naombeni kupewa ushauri,
Nina mchumba wangu ambaye ninategemea kufunga ndoa siku za usoni. Bahati nzuri au mbaya ana ujauzito na kwa mipango na taratibu nilizoziweka katika...
Maisha yana siri nzito sana ,wanaokuchukia ndio wanaokukubali na wanaokukubali ndio wanaokufitini daima katika maisha yako.Wanasema kwenye ridhiki fitina haikosekani ila nakushauri ,kwenye hila...
Mimi ni kijana wa kiume(25). Ndo kwanza nmemaliza Chuo. Sijawahi kuwa na serious relationship. Kwa sasa sina kipato cha uhakika. Natafuta mwanadada mchamungu na mchapakazi. ambaye tutakuwa wapenzi...
Hawa ni mapacha wawili,wanaitwa Lucy na Anna.Ni mapacha wa Western Australia ambao wamekubaliana kuwa na bwana mmoja,huyu boy friend wao anaitwa Ben na walikutana nae kama "Mutual Friend"...
Hakuna ajuae kesho hata mtunzi wa kalenda, nilianza na huyu msichana toka tukiwa wadogo alikuja kuniacha baada ya kumaliza six akaenda chuo niliumia sana kwakua mimi sikwenda chuo.
Anyway mtoto...
Ukipita mitaani utasiki wadada, wanaume pasua kichwa bora nijipatie mtoto niishi mwenyewe, ni wazo zuri lakini sio sahihi. Na dhana kwamba malezi ni kazi ya mama tu pia ni potofu.
Utafiti...
Hakuna kazi nyepesi kama mwanaume kumpa uja uzito mwanamke na hakuna kazi ngumu kama mwanaume kuachiwa majukumu ya kulea mtoto pasipo mama yake, wanaume wapo wengi sana ila si kila mwanaume anafaa...
Salaam wakuu,
Naomba mniondolee utata huu maana nimekuwa nikisikia hili vazi la ndani kuwa linavaliwa na wanawake au wasichana wa dizaini flani.
Je, Kuna uhusiano kati ya vazi hili na tabia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.