Picha za utupu ni dili kwa wadada wa chuo

G55-MGODI

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,353
Reaction score
1,827
Maisha yana siri nzito sana ,wanaokuchukia ndio wanaokukubali na wanaokukubali ndio wanaokufitini daima katika maisha yako.Wanasema kwenye ridhiki fitina haikosekani ila nakushauri ,kwenye hila usitie neno ,mtu akija kukuletea habari za mtu mwingine ni vyema ukamuambia ngoja aje ili tuweze jadili kwa pamoja.Mwanaume hautakiwi kuwa mnafiki na mbea.

Mwanaume unatakiwa kuwa na kifua cha kutunza siri na sio kuwa na kifua cha kuvutia warembo na kisichostamili kuhifadhi maneno,kazi ya kichwa ni kufikilia na kutathimini mambo sio kunyolea kiduku au kuvalia kofia.

Ushamba wa akili ni kumpa bar maid siri za mkeo na kutembea na smart phone yenye picture za utupu za mkeo,napatwa na simanzi napo ona mwanaume mwenye mke ana mtreat mke wake kama bar maid na anamreat bar maid kama mke.

Binti wa chuo unaandaje date na mwanaume na hauna hata kumi?kama kweli wewe ni mwanamke msomi unayejitambua mbona unapelekwa Guest na mpenzi wako na sio nyumbani kwa mpenzi wako?unataka kuolewa na tegemezi wa mawazo,pesa ,na ushauri.?

Wanaume wanapenda wanawake wenye utashi na wenye kujitambua,usitume picture za utupu kwa boyfriend wako, embu jiulize boyfriend wako anakuomba umtumie picture za utupu hujiulizi za nini ?....Jitathimini sababu wewe ni msichana mzuri na bora mume bora anakungojea acha kuigiza zingatia masomo.

Only way to live a life respectfully is to earn respect and believe me it is as easy as earning a million dollars in a day.
 
ja

hawa wadada wa chuo tamaa zao zinawaponza ndo maana wenye mikwanja wana hit na kukimbia!
 
Imetulia! Imesikika! Itatekelezwa.
Aksante mkuu kwa ushauri.
 
Shhhiiiiiii mchepuko wangu ukisoma hapa si nomaa tena. Wengine tunahitaji hizo picha zinasaidia kungarisha macho kuwa meupe manake yakiwa mekundu mikoani tutaonekana wachawi.
 
Dizaini kama mada imechanganya mafaili/madesa. Correspondence ya title against its content!! But that part aside, mkuu umetoa ushauri mzuri sana. Unafaa kuzingatiwa.
Nina maana yangu kuweka heading hiyo.....
 
Shhhiiiiiii mchepuko wangu ukisoma hapa si nomaa tena. Wengine tunahitaji hizo picha zinasaidia kungarisha macho kuwa meupe manake yakiwa mekundu mikoani tutaonekana wachawi.
Macho unagharisha ukiwa nae, au mpige picha za heshima
 
Mkuu Wadada wa chuo wamekufanya nini?? Mbona kila thread unawazungumzia wao tu?
 
Hawajanifanya kitu aisee ila tabia zao ndo zinakera, kuna baadhi ni wema na wenye maadili mema lakini wengine ni kama wemeenda kwenye maonesho
 
shida kubwa huwa wameanza kujua kwenye zipu za wanaume huwa kumefichwa nini na inakiwa kufix wapi...xo kale kamuwasho ndio huwa hawawezi vumilia kabisa lazima watekenywe xo suala la kufatilia masomo pekee ni gumu sana kwao BOSS.
 
Huu ni ushauri mujarabu.......lakini nina mashaka na waliokusudiwa kama watauendea kama ilivyokusudiwa.....maana akili za mabinti wa nyakati ni mitihani mikubwa kwa wazazi na walezi.....
 
shida kubwa huwa wameanza kujua kwenye zipu za wanaume huwa kumefichwa nini na inakiwa kufix wapi...xo kale kamuwasho ndio huwa hawawezi vumilia kabisa lazima watekenywe xo suala la kufatilia masomo pekee ni gumu sana kwao BOSS.
Ni sawa lakini kuna kazi na dawa lakini kila kitu na mda wake na kwa kiwango chake
 
  • Thanks
Reactions: lup
Hawajanifanya kitu aisee ila tabia zao ndo zinakera, kuna baadhi ni wema na wenye maadili mema lakini wengine ni kama wemeenda kwenye maonesho
Sawa, lakini ni vigumu kumpangia mtu kitu cha kufanya,, alafu ukiishi kwa kuchunguza ya watu Utakufa mapema buree bro
 
Maisha yana siri nzito sana ,wanaokuchukia ndio wanaokukubali na wanaokukubali ndio wanaokufitini daima katika maisha yako.Wanasema kwenye ridhiki fitina haikosekani ila nakushauri ,kwenye hila usitie neno ,mtu akija kukuletea habari za mtu mwingine ni vyema ukamuambia ngoja aje ili tuweze jadili kwa pamoja.Mwanaume hautakiwi kuwa mnafiki na mbea.

Mwanaume unatakiwa kuwa na kifua cha kutunza siri na sio kuwa na kifua cha kuvutia warembo na kisichostamili kuhifadhi maneno,kazi ya kichwa ni kufikilia na kutathimini mambo sio kunyolea kiduku au kuvalia kofia.

Ushamba wa akili ni kumpa bar maid siri za mkeo na kutembea na smart phone yenye picture za utupu za mkeo,napatwa na simanzi napo ona mwanaume mwenye mke ana mtreat mke wake kama bar maid na anamreat bar maid kama mke.

Binti wa chuo unaandaje date na mwanaume na hauna hata kumi?kama kweli wewe ni mwanamke msomi unayejitambua mbona unapelekwa Guest na mpenzi wako na sio nyumbani kwa mpenzi wako?unataka kuolewa na tegemezi wa mawazo,pesa ,na ushauri.?

Wanaume wanapenda wanawake wenye utashi na wenye kujitambua,usitume picture za utupu kwa boyfriend wako, embu jiulize boyfriend wako anakuomba umtumie picture za utupu hujiulizi za nini ?....Jitathimini sababu wewe ni msichana mzuri na bora mume bora anakungojea acha kuigiza zingatia masomo.

Only way to live a life respectfully is to earn respect and believe me it is as easy as earning a million dollars in a day.

Safiiiii!!!
 
Back
Top Bottom