lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,160
Igweeeeeeeeeeeeeeee!
Leo nimefanya final trial ya kujiweka kwa Oskoni ika bumaaaa. Nimeamua kufanya maamuzi magumu ya kumnawa jumlaaaaaaa, jumlaaaaa. Nimefuta namba zake zote, nime mblock na nikionana nae nampotezea juu kwa juu.
Kumpenda mtu asiekupenda athabuuu na mateso bila chuki kabisaa, sasa mi siweziiii mwenzenu. Nimeona natumia mda mwingi badala ya kujiwaza uzee unanijia sijajipanga nacheza kamari ya Osokoni na upepo nilivousoma huu mda mfupi Mbingu hazipo upande wangu kabisaaa. Sijui kwanini Mbingu mda kama huu zinanipa kisogo.
Kwa mda mfupi nimekuta natumia nguvu nyingi sanaaa kama kuua mmbu na bomu and i am missing all other opportunities chasing a dream. Mburaaaaaaa. Ote Mae. Ngastukaaaa. Maamuzi ya moyo ni magumu sanaa ila sijiendekezi wala nini. Hapa nipo kwenye final dose ya kumsahau jumlaaa nime request file lake lenye all the dirty. Nikashilata hilo sawiaaaa aaaah kesho naamka mpyaaaa kabisaaa.
Ila tu inaniuma sanaa for once i invested my time and efforts alafu ikabuma boooom on my face. Hahahaaaaaa! Heart breaking. Life can be cruel at times. Kumbe wanaume vinawaumaga eeeh! Hahahahaaaaa! This tongoza thing is not for everybody.
Kuna mtu ananiambia huyo ndo size yako, unakuwa defenceless, humtawaliii wala hutokaa umkalie kichwani. That is true definition of a man who can handle you. Na pesa alio nayo hutokaa uishike. Lazimaa utamheshimuu na utakaa sehemu yako ya mwanamke. Jikoniiiii na kumfulia boxer. Hahahahaaa! Utamwambia nini? I should try being out of control for once since i cant get what i want on my own efforts if i do get it i will treassure it. Hahaaaaaa!
Sasa mimi nilichoona ni kwenda on the contrary, i am going for his money eaither way. Cause aliniambia supplier wake na tricks zake za business, sasa hio biashara nataka niifanye mwenyewe. Nipate hizo hela mwenyewe afu nimnyooshe. Najua hizi hasira nilizo nazo nitakomaa nae mpaka kieleweke. Yeye si nunda. Ila all in all roho inaniuma sanaaa, WHY. Hahahaaaaa! Sijui.
KUBWA LA MAADUI CHALIIIIIIIII! Never a failure but a lesson (Sizitaki hizi mbichi! Hahaaaaaaaa)