Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,214
- 144,118
Siku hizi naona wadada kibao wa mjini wamejichora ma tattoo.
Wengine zipo shingoni, mgongoni kwa juu karibu na bega, mikononi, miguuni, mapajani na kwingineko.
Bado sijakutana na mwenye tramp stamp lakini naamini wapo pia.
Lakini nyingi ya tattoo zenyewe zinaonekana kabisa hazijachorwa kwa weledi mkubwa.
Sasa najiuliza huwa wanazichorea wapi? Kuna tattoo parlors hapa mjini?