Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Eyes speak alot in love but when love is far away, even a "hmm" in your voice tells the state. You can actually hear text of that person in their voice as u read it! If u did yea u love them more...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
Nakuleteeni swali, wajuzi wa maarifa, Mlojaliwa akili, na bongo zisizokufa, Muwezao ona mbali, naombeni maarifa, Mapenzi ni kitu gani? Mapenzi ni kitu gani, swali langu nauliza, Kwani yalianza...
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Amwoneaye huruma mwenzake hufikiria mbele, wakati atakapopata taabu atasaidiwa.Moja ya pambo bora kabisa katika sura ya mwanamke ni aibu au haya,kila penye haya ya dhati pana chembe chembe ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Waishio katika mahusiano kama mke na mume ni kwamba mmoja wenu anapoonekana amepata safari au ya siku mbili na kuendelea,wakati wakurejea hujikuta analazimika kumpa mmewe au mkewe zawadi ya...
3 Reactions
52 Replies
7K Views
Nawasalimu kwa jina la bwana wetu aliembinguni! Nina mchumba wangu ambae kwa sababu zisizozuilika tunaishi apart so tunaonana kwa mwaka mara mbili yani wakati wa rikizo tatizo ni huyu mchumba...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu habari za usiku huu. Napenda kuwasimulia neema niliyojalia na mwenyezi mungu, nina miaka 3 na miezi 7 ndani ya ndoa yangu, nimekua nikisumbulia na upungufu wa nguvu za kiume kwa mda wote...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Nakasirishwa sana na hawa watoto, wa kwanza yupo form five, wa pili form two na watatu standard seven english medium. Yaani najitahidi sana kuwalipia ada na kweli naweza na nafrahi sababu ni...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Nina mchumba wangu mrembo sana, tulikutana mwaka uliopita, sasa kutokana na familia yake hakupata nafasi ya kusoma aliishia darasa la saba kutokana na kutengana kwa...
0 Reactions
78 Replies
9K Views
Bila shaka hamjambo, Naomba kujua kiasi ambacho mwanaume anapaswa kumuachia mkewe mezani kama matumizi ya siku kwa familia ya maisha ya kati isiyo na watoto? Hapa kuna rafiki yangu nahisi...
2 Reactions
134 Replies
13K Views
Habari zenu wakuu wa JF. Natumai wkeend iko poa sana kwa wale wanaojua viwanja vya kujirusha na babies wao hapa mjini. Bila kuzunguka sana naende moja kwa moja kwenye ishu muhimu iliyopelekea...
3 Reactions
30 Replies
6K Views
"Mtu unampenda, unampa nafasi kubwa sana moyoni mwako, unasahau kote ulikopita unampa upendo wako wote. anakuumiza anakuacha tena kwa dharau Hadi unajihisi we huna thamani Au unamapungufu as if...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Location: Mbezi Beach Kwa Zena. Barabara ya Mwai Kibaki. Afnan Building Materials [Kwa Mpemba]. Katika kuendeleza mila, desturi, na utamaduni wa kizuri kula na nduguyo, bila inda wala...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
BABA ANASAHAU. (Kwa wazazi,walezi na kila mmoja) Sikiliza,mwanangu. Nasema hili ukiwa umelala,mkono wako ukiwa umekunja na kuuweka chini ya shavu lako na nywele zako zenye unyevu,za kahawia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BUSARA KWA WANAWAKE. YAFUATE HAYA MAHUSIANO YAKO YADUMU. 1. Degree yako ya fist class uliyoipata chuo kikuu haiwezi kukufanya uwe mke first class katika ndoa yako bali ni heshima yako na uthubutu...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Tangu mara ya mwisho nitoe thread hapa MMU kama miezi kumi na moja.. siikumbuki vizuri lakin nadhani ilikua ni mimi muoga wa kutongoza wanawake. Nashukuru mlinishauri nini cha kufanya na baada ya...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu...
8 Reactions
49 Replies
5K Views
Pengine hii habari itarushwa na vituo vyetu vya habari usiku wa leo au pengine haitarushwa lakini iko hivi.... Binti mmoja mwenye mtoto huko Njombe alipata mwanaume wa kumuoa lakini sharti la huyo...
4 Reactions
18 Replies
3K Views
Hakuna neno mpenzi pasipo tendo la kufanya mapenzi katika mauhusiano katika kizazi chetu chenye mmongonyoko mkubwa sana wa maadili, unatoa penzi ndio unaitwa mpenzi, wengi tumefunga ndoa tukiwa...
15 Reactions
38 Replies
12K Views
Kila mtu kwa imani yake anatambua umuhimu wa sala kwa Mwenyezi Mungu. Hata Katika mahusiano wanandoa wanapaswa kujifunza kufanya maombi kwa pamoja kwani inasaidia sana. Jambo hili nimelijua kwenye...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
MAMBO MUHIMU KUHUSU WANAUME AMBAYO MWANAMKE AKIYAJUA HATAPATA UGONJWA WA MOYO.... 1.. Wanaume wengi hawawezi kufanya mapenzi na mwanamke mmoja tu maishani mwao. 2..Wanaume wameumbwa na matamanio...
19 Reactions
79 Replies
10K Views
Back
Top Bottom