Mwanamke aliyempenda mpenzi wake kwa mapenzi ya dhati na kumpa heshima na unyenyekevu mwanaume wake akiwa na tumaini la kuwa amepata mume wa maisha yake na baba wa watoto wake, aliposhika mimba...
Hakuna Faraja maishani Kama kumpa tabasamu mwanao kwa njia yeyote ile iwe kwa message au simu ,furaha ndio hazina kubwa ya maisha ya mwanadamu sababu unaweza kuitafuta Pesa utakavyo ,lakini Kama...
you don't need to be a rocket scientist to know how good JF is. its qualities are second to none.
after being in a bunch of useless social networks, i've now found my "daissy among the weeds". i...
Kwa wale watu kwa ujumla wanaoingia kwenye mahusiano hasa ya kudumu, yanaweza kuwa ndoa au ya mwelekeo wa ndoa ni vyema tukawa tumejiandaa kwa lolote litakalotokea na kulichukulia hata kama ni...
Remember when i said i love you? i wasn't lying.Remember when we used to talk for hours and tell each other everything? i miss that, i miss it but someone or something always seemed to be...
Hi wana JF wote!
Weekend hii bhana nilienda kumtembelea best angu mmoja hivi sasa katika tembeatembea tukakutana na mbaba mmoja hivi jirani ake, baada ya salamu akapita zake best akaniambia...
Uyapokee yote yatakayokupata,hata ukiaibishwa uwe na uvumilivu,Ukiona Mke/Mume wako ameweka password kwenye simu yake jua sio muaminifu , iweje muwe mwili mmoja ambao mliweka agano takatifu mbele...
Nimekuwa nikiona hii tabia mara nyingi,mara kwa mara wanawake wamekuwa wakigeuka au kuwaangalia wanawake wenzao makalio wanapopita.Kama akiwa anamzidi makalio,utamuona anabetua midomo kwa dharau...
Mimi huwa siwaelewagi hawa watu wanaoitwa ma Ex.
Unaweza kuachana na mtu na kila mtu akawa na maisha yake labda Kaoa/Kaolewa, ila kutwa kucha kakuganda utafikiri alizaliwa na wewe.
Mtu kama...
Habari wanaMMU.
Wanaume wamekuwa na tabia ambayo huenda hawajajua madhara yake au hawajafahamu nini matokeo ya kile wanachokuwa wanakifanya kwa wakati husika huko mbeleni.
Inatokea anakuwa na...
Kama kichwa cha habari inavyojieleza. Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimeajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa mjini. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuishi katika na kutimiza wajibu wake...
Siku hizi naona wadada kibao wa mjini wamejichora ma tattoo.
Wengine zipo shingoni, mgongoni kwa juu karibu na bega, mikononi, miguuni, mapajani na kwingineko.
Bado sijakutana na mwenye tramp...
Wadau, hebu fikiri wakati wewe ukikua uliamka asubuhi na kuchukua Fagio na dumu la maji, kisha ukawahi namba asubuhi Kwenye mstari shuleni japo kuna baridi lakini ilibidi ukimbie kuwahi, baada ya...
Hivi kweli mwanaume unakua unajua hili ni shoga alafu unatembea nae mtaani na kupiga nae stori, kiukweli hili swala linatudhalilisha sana sisi wanaume kwa uelewa wa haraka, pia mwanaume na ndevu...
Kuna baba kakosana na mkewe but kwa mujibu wa maelezo ya watu wengi yaani majirani zao wanadai mke ndo mkorofi, yule mwanaume ananitaka sana anioe mimi, sasa mimi nikamtest nikamwambia anifungulie...
Igweeeeeeeeeeeeeeee!
Leo nimefanya final trial ya kujiweka kwa Oskoni ika bumaaaa. Nimeamua kufanya maamuzi magumu ya kumnawa jumlaaaaaaa, jumlaaaaa. Nimefuta namba zake zote, nime mblock na...
Wavulana wanatembea na Selfie Stick ila daima wanaume wanatembea na cheque book,wavulana wanatafuta sifa ili wasifiwe na warembo ila wanaume wanajenga heshima na kuitunza heshima,wavulana...
Habari wadau wa G.T/JF.co.tz.org,
Nimekuwa nikifirikiria sana juu ya hawa watu waliopewa dhamana ya kuwapa watu ajira, unakuta dada wa watu amesoma vizuri na sifa zote anazo lakini akifika kwa...
Ndoa yoyote inapitia hatua tano muhimu.
Hatua ya pili ni wakati hatari sana kwa wanandoa bila ya msaada wa Mungu na ndio nitaiadress kwa leo:
Wanandoa:-
-Wanapoa: Taratibu na kawaida za kila siku...
Habari wadau,
Naombeni kupewa ushauri,
Nina mchumba wangu ambaye ninategemea kufunga ndoa siku za usoni. Bahati nzuri au mbaya ana ujauzito na kwa mipango na taratibu nilizoziweka katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.