Natafuta mchumba

fablo can

JF-Expert Member
May 25, 2016
1,223
1,267
Kama kichwa cha habari inavyojieleza. Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimeajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa mjini. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuishi katika na kutimiza wajibu wake kama mwanamke.

Sifa;
-Awe mkristo
-Awe tayari kuthamini na kueshimu ndoa yake
-Awe tayari kuniita mume wake
-Elimu haimati sana bali napenda utayari wa mtu
-Asiwe above 27 awe below

Aliye tayari ani pm
 
Dahh...
Kwa umri ulio uweka wa kuanzia 27, nivema ukamalizia tu kwamba hata kama atakua na mtoto sio mbaya...
Ebu ngoja waamke pia, maana naona umeweka bandiko mida ya mabazazi tulio kaukiwa usingizi
 
Kama kichwa cha habari inavyojieleza. Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimeajiriwa katika shirika lisilo la kiserikali hapa mjini. Nahitaji mwanamke aliye tayari kuishi katika na kutimiza wajibu wake kama mwanamke.

Sifa;
-Awe mkristo
-Awe tayari kuthamini na kueshimu ndoa yake
-Awe tayari kuniita mume wake
-Elimu haimati sana bali napenda utayari wa mtu
-Asiwe above 27 awe below

Aliye tayari ani pm
Ngoja nikusaidie kuongeza sifa hii: Ambae hajawahi kuchepuka na asiwe na mchepuko na awe tayari kukaa bila mchepuko hata baada ya kuolewa.
 
Kila la heri.....
Ila chunga yasijekukupata ya yule jamaa na mke wake na picha zake za zamaaani sana!!!
 
Hahaaa tangia hio issue ya kutumiwa picha za mkewe za uchafu kila kijana naona ana maluwe luwe lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom