Family comes first

GedsellianTz

JF-Expert Member
Jul 5, 2016
1,344
1,790
Hakuna kazi nyepesi kama mwanaume kumpa uja uzito mwanamke na hakuna kazi ngumu kama mwanaume kuachiwa majukumu ya kulea mtoto pasipo mama yake, wanaume wapo wengi sana ila si kila mwanaume anafaa kuwa baba na si kila baba anafaa kuwa mlezi.

Unaweza kuwa na pesa nyingi sana ila kuna nyakati mtoto haitaji pesa yako bali anahitaji your pressence, faraja yako,tabasamu lako,ucheshi wako, pesa ni kila kitu vilevile pesa inaweza kuwa sio kila kitu linapokuja suala la kujali na malezi bora kwa mtoto. A happy family needs a loving and caring father, and he who knows how to be a mother sometimes.#FamilyComesFirst
 
Back
Top Bottom