Uhusiano kati ya vazi la bikini (thong) na tabia ya mtu

yello masai

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
3,659
3,705
Salaam wakuu,

Naomba mniondolee utata huu maana nimekuwa nikisikia hili vazi la ndani kuwa linavaliwa na wanawake au wasichana wa dizaini flani.

Je, Kuna uhusiano kati ya vazi hili na tabia ya mtu?

Au kama wewe ni mwanaume unamchukuliaje mpenzi wako anayevaa vazi hili?
 
Labda nimnunulie ntajisikia poa sio kavaa ya mtumba hko anakuja nayo kwangu daah itakua jau sana
 
  • Thanks
Reactions: irk
Jaman mbona hawa viumbe wanachambuliwa sana??? mimi nahis watu huvaa bikin kutokana na vazi analovaa, kwa mfano ka anataka kutoka na suruali akivaa bikin sio mbaya. Na hizi tabia za kuchimbua vitu mpaka vya ndani namna hii mmeanza lini?

Haina uhusiano wowote na tabia ya mtu ila kupenda tu kwa mtu mwenyewe.
 
Mimi naona ma shankupe ndio wanapendelea sana vitu hivyo sasa sijui ni ushamba ndio unanisumbua maana mjini nimekuja juzi na fuso la matunda
Ni kwel. Huyu wangu kaniletea story za mpenzi ninunulie bikini mi pichu sivai tena, nikahisi ndo kashakuwa shankupe
 
Ni kwel. Huyu wangu kaniletea story za mpenzi ninunulie bikini mi pichu sivai tena, nikahisi ndo kashakuwa shankupe
Unajua tunatofautiana malezi mwenzako mimi nimezoea kuona mwanamke akivaa chupi,underskirt, shumizi,kishida mpaka ufanikiwe kuona japo mstari wa tako umefanya la ziada na mwanamke huona aibu ,ila hawa wa bikini wakiinama tu ni shida shanga zilee na macho kodo ,wewe unafikiria mimi nitamchukuliaje kama sio shankupe

Hii haiwahusu wale dady can i borrow your car ?
 
Mnunulie awe anavaa usiku au mkiwa mmekaa ndan nyakt za kawaida...ni nzuri hata kwa huduma yakushtukiza...unasogeza kaukamba unaweka mgiriki...na pia inanogesha sana
Ha hahaa asante kwa ushauri mkuu. Inaonekana u mzoefu sana katika kada hii
 
Unajua tunatofautiana malezi mwenzako mimi nimezoea kuona mwanamke akivaa chupi,underskirt, shumizi,kishida mpaka ufanikiwe kuona japo mstari wa tako umefanya la ziada na mwanamke huona aibu ,ila hawa wa bikini wakiinama tu ni shida shanga zilee na macho kodo ,wewe unafikiria mimi nitamchukuliaje kama sio shankupe

Hii haiwahusu wale dady can i borrow your car ?
hahahaha! shumizi, kishida. long time!
 
Back
Top Bottom