Natafuta mchumba

marine 1

Member
Jul 29, 2015
60
67
Mimi ni kijana wa kiume(25). Ndo kwanza nmemaliza Chuo. Sijawahi kuwa na serious relationship. Kwa sasa sina kipato cha uhakika. Natafuta mwanadada mchamungu na mchapakazi. ambaye tutakuwa wapenzi na baadae Wanandoa. Kama yupo naomba ani PM.
Naomba Hoja hii ichukuliwe kwa uzito wake.
 
Tatizo lako lipo hapa Mdogo wangu

"...Natafuta mwanadada mchamungu na mchapakazi. ambaye tutakuwa wapenzi na baadae Wanandoa..."

Unatafuta mchumba au mpenzi?!

Tafuta Rafiki kwanza, Kisha mnapiga hatua kuelekea mahusiano ya "uchumba" na sio kuwa wapenzi.

Kila la kheri.
 
Noted, aksante
 
Haya kila la heri, lakin hapa utaishia kupata vimeo tu, unless unataka mtu wa kudate naye tu, binafsi humu sina hamu kabisa bora usake huko mtaani kwenu. Nasubiri mrejesho
 
Haya kila la heri, lakin hapa utaishia kupata vimeo tu, unless unataka mtu wa kudate naye tu, binafsi humu sina hamu kabisa bora usake huko mtaani kwenu. Nasubiri mrejesho

Hilo lilikua jaribu lako tu hata ungekutana nae wapi usingekimbia mapito yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom