Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,846
Nimekuwa nikiona hii tabia mara nyingi,mara kwa mara wanawake wamekuwa wakigeuka au kuwaangalia wanawake wenzao makalio wanapopita.Kama akiwa anamzidi makalio,utamuona anabetua midomo kwa dharau au anacheka na kumsema kwa wenzake,lakini kama huyo anaepita ni kiboko amefungasha na amemzidi utaona usoni mwake hali ya kuumia moyo au hata kununa.Mbaya zaidi kama huyo mwangaliaji ameongozana na boyfriend wake/mume wake baada ya kumuona mwenzake ameumbika vizuri kuliko yeye,anakuwa na gubu na muda wote ana muangalia bwana yake usoni kumuangalia kama atageuka au atamuangalia huyo aliyefungasha.Na ole wake mwanaume ageuke!Utasikia kama umempenda nenda kwake!Au kumbe ndio zako!Hapo utanununiwa mpaka mwisho!I mean kwa nini wanawake wanakuwa bothered na makalio ya wanawake wenzao?