Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Kaa mbali na ngono nje ya ndoa, magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya ngono yanazidi kuongezeka, unavyokuwa na wake/waume wengi chance ya kuambukizwa ni kubwa 2. Pima na mke wako magonjwa yote...
10 Reactions
41 Replies
6K Views
Nimejitahidi kuchunguza kuanzia sehemu ninapoishi mpaka kazini kiukweli vijana wenzangu wengi walio na mpenzi au mke zaidi ya mmoja ukijaribu kupiga nao stori mbili tatu lazima kisa cha kutendwa...
9 Reactions
73 Replies
7K Views
'Scenario' namba moja: Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako. 'Scenario' namba mbili...
2 Reactions
98 Replies
9K Views
Yaani nashindwa kujielewa nina tatizo gani mimi,je ni ubahili,uchoyo au umimi? Nikiwa na mwanamke huwa sipendi aniombe hela kabisa. Hata akiwa na shida kubwa kiasi gani ambayo nahisi kabisa...
10 Reactions
61 Replies
8K Views
Habari wanaBodi, Kama nilivyotangulia kusema. Nina mke ambaye tumekuwa naye katika ndoa miaka minne sasa lakini miaka ya karibuni nimeanza kupata mashaka na nyendo/tabia zake. Mara kwa mara...
2 Reactions
126 Replies
21K Views
Wana JF, Leo napenda tuambiane jinsi ulivyomtongoza mkeo au huyo mwenza wako uliyenaye, sina maana mbaya wala siyo ujinga kwasababu sisi sote tunaamini kutongoza ndiyo njia ya mahusiano na hayo...
6 Reactions
234 Replies
33K Views
Tafiti kadha wa kadha zinaonyesha kua wasichana wasiojitunza kujilinda na kubakia waaminifu kabla ya ndoa wana uwezekano mara dufu wa kuja kufanya ngono nnje ya ndoa baada ya kuolewa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Baada ya kufanya utafiti wangu nimekumbana na kaluli hii " Alinisumbua saana kwa siku nyingi ... nikaamua nimkubali". Je ni kweli unaweza kumkubali mwanaume kisa eti amekusumbua sana? Tafadhali...
9 Reactions
61 Replies
6K Views
Hello MMU members, Mwenzenu nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri sababu nipo njia panda sijui nifanyeje nahisi maoni na mawazo yenu yanaweza kuniondoa au kunisaidia kwenye huu mkwamo. Awali...
5 Reactions
60 Replies
7K Views
Jana mpenzi wangu kaniuliza hilo swali nikashindwa cha kumjibu.... Chanzo cha kuniuliza ni kutokana na pale kila mwanaume anayekuwa na no yake mwisho wa siku ni kumtongoza. Hata iwe no wamepeana...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Hivi jamani wanasema vibamia vinaanzia nchi ngapi?
0 Reactions
117 Replies
30K Views
Scenario No. 1 Kuna baadhi ya familia kuanzia baba hadi watoto kwa ajili ya kuogopa au usumbufu wa kuamka usiku kwenda kujisaidia walikuwa na makopo ndani kwa ajili ya huduma hiyo, basi cha kwanza...
11 Reactions
56 Replies
12K Views
Wadau naomba kuuliza kuhusu hivi viapo vya damu, Nilikutana na demu kwa muda wa wiki hivi ni kabinti kama miaka 18 ndio kwanza kanaingia form 5, siku hiyo tupo nae namsindikiza akaniomba ninunue...
0 Reactions
44 Replies
14K Views
Mwaka jana mwishoni nilipata likizo, hivyo nikaamua kwenda kumtembelea mzee wangu huko visiwani zanzibar. Nilipofika hiyo kulikua kuna beki tatu mzee alimchukua kutoka huku Dar.
0 Reactions
90 Replies
12K Views
Naombeni wan JF mnisaodie kwa hili, Maana kila siku nasikia watu wanalalamika na kuongelea vibamia,ko ningependa nduguzanguni mnielize ni ukubwa gani unachukuliwa kama kibamia.
0 Reactions
128 Replies
72K Views
HABARINI Murejesho wa Party 2 ya verossa Nukuu ya ujumbe usemao: (Mahusiano yenye ushindi bora wa uvumilivu ndio hudumu zaidi kuliko mahuisiano yasiyona ushindi hudumaa na kubomoka)...
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Hili neno linatajwa kwenye Bible kuwa 'na wala hakutakuwa na kuzaa mapooza tena.' Ila hatutalijadili kwa mrengo wa kidini Mapooza yapo kwenye maisha yetu ya kila siku, mapooza kwenye kipato-una...
7 Reactions
16 Replies
7K Views
Nimecopy na kupaste kutoka kwa Godlisten Malisa kutoka face book ebu endeleeni kusoma USIFANYE MAKOSA YA YAHOO.! By Malisa GJ, Nimeitoa kwa Comrade Markus Mpangala na kuitafsiri kwa Kiswahili...
16 Reactions
36 Replies
4K Views
Jaman tusaidianen nilikuwa na girlfriend nikiwa shuleni kipind nipo kidato cha sita ila tulikosana baada ya kugundua anacheat na hii niliigundua baada ya kumtafta kwa namba ngeni ndipo alipochat...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Back
Top Bottom