[emoji12] [emoji12] [emoji12] Unknown error occurred, page can't be displayed ,it may either be removed or hidden by the owner due to copyright ownership.!!!![emoji12] [emoji12]
Kwa wale tunaoishi kwa mlo mmoja kwa siku ni bora ule mchana au usiku? Maana dah inabidi kuchezesha karata vizuri maisha yamebana sana.
Ila ipo siku tu tutatoka
Hitaji la asili la kila mwanaume ni kuwa na busara, hekima, utashi, akili na uelewa. Haihitaji kuwa na shahada ya uzamili, au uzamivu ili kuwa na hivyo vitu. Ni uamuzi tu kutoka ndani ya kilindi...
Nina swali Wakuuu...ukimpiga mashine mwanamke aliyekuzid umri kwa mfano miaka 35-45..Hio papuche huwa tofaut na wale wadogo tumezoea kumega mitaani?
Tofaut ipo wapi
Umri?
Utamu?
Uzoefu?
Za jioni wapendwa,
Leo kuna stori moja hivi ambayo imetokea Nairobi nchini Kenya kuhusu jamaa mmoja ambaye amembwaga mchumba wake baada ya huyo binti kumwambia jamaa juu ya past yake kuwa alikuwa...
Kila mtu ana staili yake ya kumuandaa mpenzi wake kabla ya tendo la ndoa! Lakini mambo makubwa ambayo huwa yako common ni pamoja na;1. Kulana denda.2. Mme kuzama chumvini ama mke kula koni.
Na...
Ile dhana ya sisi wanaume kuhitaji kuwa kichwa ni urithi wa kimaumbile toka enzi za mzee ADAM.
Straight on point: Kutokana na utandawazi hili swala la kufikishana kileleni limekuwa mada nyeti...
Kwa jina naitwa Jonathani nipo Geita, kazi yangu mkulima. Natafuta mke wa kuoa awe mcha Mungu mwenye elimu kuanzia form 4 na kuendelea mrefu kuanzia futi 6.5 nakuendelea maji ya kunde au mweupe...
Ukitaka kufurahi piga story na akina dada wanaoongea kama chiriku utajua mambo mengi yahusuo wanawake hasa katika masuala ya mapenzi! tena mengine utakuta yanakuhusu kabisa..Wanasema mwanamke...
Habarini za kazi wakuu,
Ni hivi kuna baamedi mmoja hivi nilimtokea siku za hivi karibuni na mambo ikatiki nikamgegeda siku ileile na mara nyingi zaidi huwa anapenda niende kwake kwani anadai hana...
Upo mapenzini na labda umemkuta mwenzi wako tayari akiwa mkubwa "si bikra". Katika hali hii usipende kupekua maisha ya kimapenzi aliyokuwa nayo awali. Anza pale mlipokutana ninyi.
Kupekua pekua...
Habari zenu wapendwa,
Mimi mwenzenu sijui nina balaa au gundu au mkosi yani hata sijui niseme nini kitu gani, maana kila mwanamke ninayempata ana visa vyake pia, huyo wa juzi nimemuacha kwasababu...
Habari,
Nimeona leo tuangalie hili suala la kudharauliwa wanawake wasioolewa kwa kuwa linazidi kushika kasi zaidi.
Mimi ni mwanamke wa mtu ila kuna hii tabia ya watu kuwasema vibaya wanawake...
Katika Kuwaza kwangu nilijiuliza mambo Mengi. Katika kusoma maandiko nikagundua Damu ina nguvu sana. Nikagundua Damu inapomwagika inaweza kuongea, ndo Maana Cain alipomuua Abel, Mungu akamwambia...
Naomba kuelimishwa, kuhusu kanuni na taratibu, za ndoa ya kiislaam, kuanzia uchumba, maisha ndani ya ndoa, mpaka kufikia kutengana,au kuachana (ikibidi).
Sio sawa kabisa kuingia katika mahusiano na mtu na kumfanya atengeneze hisia za kukupenda wewe, kumfanya mtu aamini kuwa wewe ni wa tofauti na wale wote ambao wamekwisha muumiza kihisia hapo...
Hii observation nimeifanya ofisini, kwenye sherehe, hata mtaani.
Wanawake walioolewa wanajiamini sana ukilinganisha na wasioolewa. Nadhani wengi mtapingana na hili ila hapa siongelei kujichetua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.