Verossa part II

Verossa part II

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
HABARINI

Murejesho wa Party 2 ya verossa

Nukuu ya ujumbe usemao:
(Mahusiano yenye ushindi bora wa uvumilivu ndio hudumu zaidi kuliko mahuisiano yasiyona ushindi hudumaa na kubomoka)




wakati mwingine unahitaji medali ya ushindi je unaweza kuipataje hiyo medali ni kwa kuruka kamba, kucheza kwata au kwa njia gani?

Mchezo wowote uuchezao na ukaona umeshindwa basi huo sio mchezo bali ulijipotezea muda bure
ni budi ucheze mchezo unaweza kukupa USHINDI kwa kila hali je ulitarajia nini wakati unaanza kucheza je uliona kuwa utashindwa au utaweza? Jibu liko kwenye fikra zako.

Ni budi ujipange kupambana na michezo yoyote iliyo mbele yako kuna michezo ya maisha, mahusiano na urafiki kama ukucheza karata vizuri basi tambua utaweza kucheza mchezo wowote
wa kimahusiano vyema utaanguka na kushindwa kabisa

Mara nyingi maisha ya mahusiano yana michezo mingi na ugumu wa kuchezeka unatokea je umejiandaaje kukubaliana na hali hiyo au mitihani hiyo ya KIMAHUSIANO
Je umejiwekea mikakati gani ili mchezo huo wa mahusiano na kirafiki na kimapenzi usiyumbe ?


Je umetambua kuwa mwenzi wako ni bora zaidi ni wa thamani kuliko verossa?

xxxxxxxxxxxx HUU MCHEZO HAUHITAJI HASIRA xxxxxxxxxxx


Wasalaam
Ladyf
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom