Swali kwa wanaume waliooa tu

Swali kwa wanaume waliooa tu

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,626
'Scenario' namba moja:
Unarudi nyumbani toka mizunguko yako ya kila siku, unafika nyumbani hamadi unakutana na mke wako anakusaliti na mwanaume mwingine nyumbani kwako.

'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.

Sasa naomba uniambie, wewe utafanya nini ukikutana na 'scenario' moja wapo hapo juu. Yani nataka uniambie ile 'immediate action' utakayoichukua ndani ya dakika moja unaposhuhudia suala hilo.
Sitaki uniambie utafanya nini baada ya siku au week au miezi kupita baada ya kitendo hiko.

Nadhani nimeeleweka.
 
Labda wewe ungefanya nini?
 
Kila mtu atasema lake Ila kitakachotokea kitategemea hapo hapo.....
 
'Scenario' namba mbili:
Unapata taarifa kuwa mke wako wa ndoa anakusaliti, unafanya uchunguzi na kujiridhisha ni kweli anafanya hivyo. Na ushahidi unao.

hii ya pili ndio imenifanya nisikuelewe, hasa katika swali lako la ndani ya dakika moja nitafanya nini?
 
Mimi nipo katika imani ya dawa ya moto ni moto,
Msumari kwa msumari,
Nitakayo anza kuyafanya mimi, ataona kaburi linatusubiri wakati wowote,
Nitayafanya wazi, wazi na mpaka kwa ndugu zake.
 
Unampaka mafuta huyo Jamaa anaezini nae ili na yeye apate haki yake(kumfumua marinda).

Pili, unaachana na huyo mwanamke hivyo tu Mkuu maana kafanya dharau ya hali ya juu sana.
 
Na ikitokea huyo muhusika anakuzidi nguvu na ujanja?
 
Mimi nipo katika imani ya dawa ya moto ni moto,
Msumari kwa msumari,
Nitakayo anza kuyafanya mimi, ataona kaburi linatusubiri wakati wowote,
Nitayafanya wazi, wazi na mpaka kwa ndugu zake.

Kuwa wazi. Utafanya nin?
 
Na ikitokea huyo muhusika anakuzidi nguvu na ujanja?
Mkuu hawezi akanishinda hata siku moja. Niko fiti sana kwa upande wangu sijui wewe huko.

Kama haujiamini katika mapambano unajitahidi unatafuta means nyingine ya kumshinda Mkuu.
 
Mimi nipo katika imani ya dawa ya moto ni moto,
Msumari kwa msumari,
Nitakayo anza kuyafanya mimi, ataona kaburi linatusubiri wakati wowote,
Nitayafanya wazi, wazi na mpaka kwa ndugu zake.
Nyinyi ndio huwa mnashindwa kufanya chochote.....aidha unazimia, au unapiga ukunga!!!!!!
 
binafsi sijaoa ila ilinikuta hiyo namba mbili, nilifuma msg za kushukuriana baada ya game yao, nikamwita nikamwonesha akapaniki sana akitaka nimrudishie cm yake nikamwambia hii nalala nayo leo, akaondoka kwake, usiku jamaa likatuma msg nikawa nachat naye huku narespond anavyotaka, hadi saa sita usiku nilikuwa na majibu ya kutosha japo niliumia lakini nashukuru nilijua nipo na mtu aina gani, ngoja kwanza..
 
Scenario #1, sina jibu na sijui nitamfanya nini.

Scenario #2 tutaachana/ nitamuacha.

Hitimisho, siwezi kuishi na mzinzi wakati najua kabisa ni mzinzi. We'll call it a day.
 
Back
Top Bottom