Nimecopy na kupaste kutoka kwa Godlisten Malisa kutoka face book ebu endeleeni kusoma
USIFANYE MAKOSA YA YAHOO.!
By Malisa GJ,
Nimeitoa kwa Comrade Markus Mpangala na kuitafsiri kwa Kiswahili...
Jaman tusaidianen nilikuwa na girlfriend nikiwa shuleni kipind nipo kidato cha sita ila tulikosana baada ya kugundua anacheat na hii niliigundua baada ya kumtafta kwa namba ngeni ndipo alipochat...
Ukipita mitaa mingi ya Dar utakuta matangazo mengi ya kuuza dawa za nguvu za kiume tofauti na mikoani na Dar ndiyo kunaongoza kwa vijiwe vya kuuza supu ya pweza na unakuta vijana wanainywa balaa...
Nadhani wengi mtakumbuka nilivyoleta uzi apa wife kwa imani yake aligoma kutumia ARVs, kwenye uzi kuna point nilichukua na nashukuru nilizifanyia kazi.
Jana ilikuwa hivi nilimbembeleza niliamka...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watu mmezidi PM, " Lara you are so negative! Very persmistic, Kwanini?" Okay! You wanted Positive! I give you Positive. (Im not so...
Habari wanajamvi,
Nimependa kupata mawazo yenu kuhusu mada tajwa hapo juu. Unapokuwa kwenye mahusiano huwa una thamini zaidi hisia kwa mwenzako au una thamini hela na material things?
Asanteni.
Jamana wana JF siku zite rafik wa kwel ni sawa na ndugu mimi nahitaji rafiki wa jinsia yeyote na mwenye elimu kiwango chochote ilimrad tu awe na upeo mzur wa kimawazo na fikra na mwenye kuwaza...
za leo wana MMU
Napenda tushee storry za maisha yetu kuhusu kuwa mzazi.
je ulipenda mwenyewe kuwa mzazi? ulipata force kutoka kwa wazazi wako kwamba wanataka wajukuu au ilikua bahati mbaya?
Kumezuka tabia baina ya wana ndoa au wapenzi kufanya kitu kianitwa SAPRIZI eti mtu anajifanya anamfanyia mwenzie matembezi ya kustukiza ili aonekane kuwa anampenda sana kumbe geresha tu, ikumbukwe...
Bwana Yesu asifiwe wapendwa!
Wakuu naomba kuwauliza,
Hivi inawezekana kwel mwanaume ukaishiwa mbinu za kiume za kutafuta pesa mpaka ukaamua kujiunga kwenye vibati vya wanawake? Maana...
Habari ndugu zangu wana JamiiForums,
Kuna jambo ndugu yangu anakumbana nalo ni hatari sana. Yeye ni mwalimu wa sekondari moja hapa Tanzania ila tatizo kubwa hapa ni mitego anayoipata kutoka kwa...
Imetokea umeolewa na umeishi na mume kwa miaka michache bila mtoto. Unaanza kusikia pembeni mume ana mtoto, baadae anaamua kukueleza. Unakaa kimya, sasa inakuwa kumuona nyumbani ni shida, na...
Naomba kuuliza wana JF kama imetokea mm na mke wangu tumevurugana ndani kwa sababu yeyote tu ikatokea hatuelewani itakuwa ni jambo la busara kuwaita ndugu zangu kama kaka au mama au baba au dada...
Habari za usiku huu wakuu,
Nimekuja kwenu kuomba ushauri juu ya mambo yaliyonitokea leo. Nilikuwa na mpenzi ambaye nilimpenda sana, tangu tuanze mahusiano tunamiezi minne mpaka muda huu...
Kunabinti flani nimekuwa naye kwenye urafiki sasa yapata mwaka wa 3, tumeaminiana na kupenda sana kiasi kwamba mara nyingi sana huwa anakuja home wakati wowote coz huwa anajua kuhusu my personel...
Nimeamua kutoboa siri kazi kwenu, nyie wanawake mu watu wa ajabu sana, utakuta mdada kahamishia ofisi, kitanda, jiko na dressing table yake kwenye mitandai ya kijamii.
Hasa instagram, facebook...
Kidooogo, kijijini kwetu ninaonekana nimesoma. Hivyo nikifika wazazi wengi huniona kama role model kwa wana wao hususani wa jinsia ya kike.
Wiki iliyopita, nilikuwa kijijini. Mwalimu wangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.