Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,187
Nimejitahidi kuchunguza kuanzia sehemu ninapoishi mpaka kazini kiukweli vijana wenzangu wengi walio na mpenzi au mke zaidi ya mmoja ukijaribu kupiga nao stori mbili tatu lazima kisa cha kutendwa kipo.
Na hawa ni wahuni sana hawaridhiki na mmoja.Yote ni kule kuharibikiwa kisaikolojia.
Kwanza wanaamini hakuna mapenzi ya kweli.
Pili hawajiamini hata wakipendwa.
Tatu wana makovu ya muda mrefu ndicho kisa kinachowapelekea washindwe kuzizuia hisia zao.
Yeyote mbele yao huamini ni njia ya kujiliwaza. Ni wabishi kushaurika hawa watu wamevaa roho sugu na wanaishi sana kwa historia.
Ukiona mhuni ulishatendwa wewe ndio maana huridhiki na mmoja.