Kaa mbali na uzinzi, uasherati, ngono nje ya ndoa

Kaa mbali na uzinzi, uasherati, ngono nje ya ndoa

Simplicity.

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
2,636
Reaction score
1,664
1. Kaa mbali na ngono nje ya ndoa, magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya ngono yanazidi kuongezeka, unavyokuwa na wake/waume wengi chance ya kuambukizwa ni kubwa

2. Pima na mke wako magonjwa yote ya kuambukizwa kwa ngono, angalau mara 1 kila baada ya miezi mitatu


"Hepatitis B (HBV) is 50 to 100 times easier to transmit sexually than HIV ( the virus that causes AIDS). HBV has been found in vaginal secretions, saliva, and semen. Oral sex and especially anal sex, whether it occurs in a heterosexual or homosexual context, are possible ways of transmitting the virus." Hepatitis and Sex: Frequently Asked Questions
 
Huyu mtu aliefanya magonjwa yasambazwe kwa ngono sijui aliwaza nini. Kwanin isiwe njia nyingine?
 
Bora kuchepuka basi mtu achepuke kwa mengine bila S*X. Wengi wanafanya na inawezekana, ukipata hamu unaenda kwa mke/mume.
 
Endelea kupima.hiyo.mara moja kila.baada ya miezi mitatu, utapata unachotafuta.
 
Kwa wanandoa jitahidini kuwa waaminifu...walio single nakumbusha tu " phonecation is better than masturbation"...kuwa mwangalifu na magonjwa hata kwenye maji ya kunywa yapo!!!
 
Kwa wanandoa jitahidini kuwa waaminifu...walio single nakumbusha tu " phonecation is better than masturbation"...kuwa mwangalifu na magonjwa hata kwenye maji ya kunywa yapo!!!
fonication mkuu hapo juu
 
Back
Top Bottom