Question, for both male and female

Mtafuta kiki

Member
Jun 3, 2016
76
34
1470323704644.jpg
 
Mwanamke pia ana moyo.....
Kinachonifurahisha ni mara chache mnooo mwanaume atongozwe na mwanamke afu achomoe, mara chache mnooo
 
Haya mambo ya kizungu tuwaachie wenyewe, kwakuwa sasa wamachumbiana na kuwowana watu wa jinsia moja
So hata kwa matendo.tu mshana jr
Sometimes wanaume wanakua wagumu kueleza hisia zao....na wengn uwa waoga au kua na impression tofauti juu ya mwanamke hata kama anampenda anaweza fikili she is out of his league...so mwanamke akiamua kufinguka si mbaya
...ila uwiii ukitolewa nje aibuuuuuu :)
 
So hata kwa matendo.tu mshana jr
Sometimes wanaume wanakua wagumu kueleza hisia zao....na wengn uwa waoga au kua na impression tofauti juu ya mwanamke hata kama anampenda anaweza fikili she is out of his league...so mwanamke akiamua kufinguka si mbaya
...ila uwiii ukitolewa nje aibuuuuuu :)
Siwezi hata siku moja mwanamke anifungukie halafu nimtose, dhambi iliyoje...Huu ni mfupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama zangu....kumtosa mwanamke ni kujikataa
 
I respect a woman who can Express herself without worries. To me,its actually a plus!
 
So hata kwa matendo.tu mshana jr
Sometimes wanaume wanakua wagumu kueleza hisia zao....na wengn uwa waoga au kua na impression tofauti juu ya mwanamke hata kama anampenda anaweza fikili she is out of his league...so mwanamke akiamua kufinguka si mbaya
...ila uwiii ukitolewa nje aibuuuuuu :)
The secret is to continue being a lady even when stuff gets rough and tough. Even when the guy is out of her league. Some women end up losing a guy they are interested in,not because they made the first move,but because they made it the wrong way.
As a woman, no guy will be surprised if you appear shy and afraid to stare directly into his eyes and believe it, it goes beyond that. some men are totally turned off by a woman who is too bold in a way which almost makes her appear manly! But they have a point,whats sexy about a manly woman to a straight guy?As a woman, be a woman to the guy you want by applying your seduction in a feminine manner,because difference always attracts.
Usije ukajitosa na kabarua ka kizushi kenye ujumbe mzito kuwa nakupenda,nimekuzimikia, sili,silali na blahblah kibao,wakati hujui yeye yukoje.
Kwanini usimvizie akipita kwenye korido la ofisini na kupishana nae ukimkonyeza kama kwa bahati mbaya? Wanaume wanapenda naughty stuff na katika hali hiyo,hata kama alikuwa kwenye mood mbaya, utamchanganya na ataanza kukuwaza akijiuliza kama alichokiona ukikifanya ni kweli au ni mawazo yake tu yanamtuma kuwaza visivyokuwapo?
Baada ya kumkonyeza hivyo, retreat to your previous position, ya kumheshimu kama humjui vile. Kusudio la hii move ni kupima upepo kwa kuassess reaction yake baada ya kuwa umempa move ya kwanza. Na si lazima umkonyeze tu, tafuta kitu mwilini mwako unachojua kinawatoa udenda wanaume ukitumie kama silaha dhidi ya target yako. Unaweza kutumia mguu wako mzuri, your nice ass, your beautiful smile n.k Hii ni topic nyingine.
Baada ya kuassess reaction yake na kuhakikisha kuwa anahaha kutafuta attention yako,jambo utakalolithibitisha kupitia namna anavyokucheki, anavyotoa udenda ukipita, anavyotaka kuwa karibu na mazingira uliyopo n.k Yote yakimaanisha kuwa anataka kujua kama kuna la ziada au ni mihemko yake tu? Ukiona hana dalili za kuwa interested, try another more serious method ambayo ni topic nyenginewe. Tukuendelea na kama utathibitisha kuwa yuko interested, get closer if not getting him closer.
Hapa, reveal to him that you might be interested but still, whether the winking thing really happened or happened in his thoughts, must continue being a mystery.
Hapa, because you are sure he is interested, ask him out! Hapa utakuwa umeresearch mambo anayopendelea. Kama ni movie, take him there, kama ni kupombeka and you dont have qualms with guys who are into it, take him to a nice spot ambako utapata muda wa kumstudy na kumwangalia kama ndie unaemtaka au sie. Kumvuta karibu kutakuwezesha kutambua kama yuko matured kwa kiasi gani na kuwa anakuwaje katika mazingira tofauti. Endapo utaona vitabia vya dharau utakapomuomba kutoka nae, mwambie mtakuwa wengi. Yaani wewe, yeye,rafiki zake, marafiki zako n.k ambao utaaproach baada ya hapo. Na baada ya kuona hizo dalili,usiendelee kumfuatilia,hakufai. Na pia,endapo utamuona ana vitabia vya kishenzi mkiwa out, piga chini na uachane nae kabisa. Hii ni hatua basic ya mwanamke kutongoza endapo anataka mchumba na sio one night stand.
Always be a lady. Ukiwa too bold au ukibehave kisela sana, utafukuza wapenzi!
 
Back
Top Bottom