Wasichana wasiothamini umuhimu wa kujitunza

Wasichana wasiothamini umuhimu wa kujitunza

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,401
Tafiti kadha wa kadha zinaonyesha kua wasichana wasiojitunza kujilinda na kubakia waaminifu kabla ya ndoa wana uwezekano mara dufu wa kuja kufanya ngono nnje ya ndoa baada ya kuolewa ikilinganishwa na wale wanaojitunza na kuanza ngono ndani ya ndoa.

Utafiti huo pia unaonyesha maisha yao ya baadae huwa magumu kutokana na kuacha masomo au kuzaa zaa ovyo bila mpangilio kwa kuwa wengi hujikuta wakizaa na wanaume tofauti tofauti na kusababisha malezi ya watoto kuwa magumu.
 
Mi najua wasichana kind hiyo wanakuaga wahanga wa mahusiano, hawaishi kutendwa
 
Wacha walegeze kamba mkuu, wakikaza sana ME watakonda kwa kujichua...BTW wakina nani walioufanya huo utafiti???
 
Wasichana wa hivyo kwa utandawazi huu wa karne hii hawapo na hawatakuwepo tena.
 
Back
Top Bottom