Hivi wanaume tulilaaniwa au?

Baba yenu

JF-Expert Member
Jun 17, 2016
1,053
1,418
Jana mpenzi wangu kaniuliza hilo swali nikashindwa cha kumjibu....

Chanzo cha kuniuliza ni kutokana na pale kila mwanaume anayekuwa na no yake mwisho wa siku ni kumtongoza.

Hata iwe no wamepeana sababu ya biashara zake basi atlast atamtongoza.

Na huu ni ukweli wanaume karibia wote akipata no ya mwanamke wakichart kidogo tu lazima amtongoze labda awe ndg yake ndo kidogo anatia adabu.

Niulize na mimi jaman ivi wanaume tumelaaniwa? Maana siwez kujitoa hata mimi ni mwanaume
 
dem akinipa namba halafu unafaa kwa matumizi ya binadam itabidi ntongoze tu hamna namna nyingine..sasa ntafanyaje alaf hii unakuta inatokea tu naturally hata kama tayari dem unaye..au unataka tukichati tujadili katiba mpya?...damn, so good being a man.
 
Hakuna kulaani huo ndio uwanaumee wenyew marijali wotee mtot mzuri mzurii lazm utongozee tuu
 
dem akinipa namba halafu unafaa kwa matumizi ya binadam itabidi ntongoze tu hamna namna nyingine..sasa ntafanyaje alaf hii unakuta inatokea tu naturally hata kama tayari dem unaye..au unataka tukichati tujadili katika mpya?...damn, so good being a man.
Hdhahafhaha
 
Kutongoza ni sehemu ya maisha ya mwanaume rijali, mwambie hivo demu wako, huenda hajui, akikuuliza maana rijali ni nini niunganishe nae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom