Mie kiukwel napenda sana kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanamke mwenye sifa zilizoainishwa hapa chini:
1. Awe msomi wa kiwango cha diploma na kuendelea.
2. Awe mchapa kazi hatari na...
Leo bwana ngoja nishare na washikaji wangu wa JF story za kitaa changu,
Kitaa changu bwana kina drama za kutosha, drama ambazo nikianza kusimulia mojabaada ya nyingine tutakesha ila hii...
Aina za ndoa...
1. NDOA YA MKEKA
Inatokana na kufumaniwa na Binti wa watu. Ndoa hii huwa Haina mahari. Hii huvunjika mwaka mmoja tu baada ya wanandoa kugundua hawakuwa wakipendana!
2. NDOA YA...
Sijui kwanini watu wako hivi yaani anajulikana kabisa ni mtumishi anajishughulisha sana na kazi hiyo japo ana kazi tofauti za kujiingizia kipato yaani hajawa mtumishi kamili.Cha kushangaza ni...
Katika kuishi kwangu nilishatokewa na wanawake kadhaa, na si kwamba mi ni handsome kivile isipokuwa nina sifa tu ya kuwa mwanaume. Pamoja na hayo juzi nikiwa kazini nilikutana na mfanya kazi...
*Jihadharini na wachapaji wa kadi za harusi. Hakikisha unasoma maandishi yaliyochapwa kabla ya kadi kuchapwa na kusambazwa!
Mchapaji aliombwa aweke 1Yohana 4:18 ktk kadi ya harusi lakini mchapaji...
Nakumbuka zamani ukimtumia mpenzi sms za usiku mwema au asubuhi inakuwa inaambatana na ujumbe mzito wa kimahaba utaonekana unajali sana ukimtumia mpenzi ila siku hizi sms ndefu kama zimepungua kwa...
Nimekutana na wanaume wengi wakilalamika kuwa akina dada siku hizi wanaendekeza sana pesa hivyo wanapata shida kupata wenza kfunga nao pingu za maisha.
Yafuatayo ni makosa ambayo akina dada...
Hello,
Hivi ikitokea bifu kati ya mke wako na mchepuko, halafu mchepuko kwa makusudi ukaanza kumwambia mkeo kuwa huyo mme tunachangia, lakini mkeo kwa madaha akaanza kuurusha mchepuko kwa...
Mambo vipi! I hope you are fine and you are well keeping on progress to educate our societies,kuna kaka yangu anampango wa kwenda uchagani (kilimanjaro)sio tu kwa ajili ya kutafuta mchumba wa...
Ukitaka kujua Wanawake wanapenda kudanganywa kuliko hata kwenda saluni wewe angalia aina ya maswali anayokuuliza yalivyo. Unatongoza msichana mpya halafu kabla hata hajakukubalia...
Jambo hili limekuwa linanishangaza. Zamani nilikuwa nasikia kuwa mwanamke akizaa huamishia mapenzi kwa mtoto akimuacha mume anajikunyata. Lakini sasa yamenikuta mke wangu analalamika kwamba...
Habari zenu,
Mimi sifa zangu kama ifuatavyo nina degree ya kwanza ya sayansi, ni muislam nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
Awe muislam
Awe angalau ameishia form iv na kuendelea pia awe...
Salaam waku,
Mim ni mama wa mtoto mmoja nimeolewa miaka miwili iliyopita.
Tatizo langu kuu ni huyu mume wangu yeye ni mwajiriw wa sheli fulan kubwa hapa jijin,yupo upande wa pump lakini tatizo...
Habari wakuu,
Kwanza kabisa nikiri for last 2 month my life has been a living a hell, nimeendelea kua na bad luck kwenye mahusiano kiasi chakunifanya nikate tamaa yakumpata mwenza ingawa najipa...
...Hivi, kwa ufahamu wako,
...nini ushawishi unaomkumba mtu mpaka unampelekea kuisaliti ndoa yake/mpenzi wake? Je, ni ule 'utamu' wa kuibia?, au ni kutafuta'faraja' kwa kujiliwaza?
je...
Kuna Dada nampenda ,nimemwambia seriously hanielewi,hanitaki na haonyeshi kuelekea!! Amekua anadate na vijivulana visharobaro vimekua vikimchezea na kumuacha anaumia,Ila bado nikimfuata mi Niko...
Hala JF,
Natumai wazima wote, ningependa mnisaidie na hisia zangu ambazo mimi mwenyewe sizielewi ni hivi nimeolewa na nina miaka miwili na nusu kwenye ndoa na mtoto mmoja, sema la kweli I really...
Habarini wana jamvi na poleni katika harakati zenu za kulisukuma gurudumu la maisha. Si kazi rahisi kwa kweli, ni kazi ngumu sana. Ndo maana mi huwa nafikiri, kuishi tu ni moja ya ibada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.