Jinsi ulivyomtongoza mkeo au mwenza wako

Itzmusacmb

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
1,531
1,133
Wana JF,

Leo napenda tuambiane jinsi ulivyomtongoza mkeo au huyo mwenza wako uliyenaye, sina maana mbaya wala siyo ujinga kwasababu sisi sote tunaamini kutongoza ndiyo njia ya mahusiano na hayo mahusiano ndiyo mwanzo wa ndoa ambayo huleta familia.

Tiririka hapa tuone sound ulizotumia

1467462269059.jpg
 
Nilikutana nae kwao china..Alikuwa mfanya usafi wa hoteli niliyofikia..
Siku hiyo ilikuwa ndo siku ya semina..Baada ya kuambiwa semina itachelewa kidogo kuanza,Nikaamua niende msalani nikapunguze uzito..Wakati naingia msalani ye alikuwa yuko nje anafanya usafi maeneo hayo...

Nilivyoingia ndani nikakutana na maelezo kibao yamebandikwa yakitoa ufafanuzi jinsi ya kutumia vyoo hivyo..Sikujisumbua kuyasoma sababu nilikuwa tayari nina siku mbili pale hotelini..So nikajua vyoo ni kama vilevile tu vya room kwangu...Nikachojoa nguo then kama kawaida yangu vyoo vya kukaa mi uwa napanda kwa juu kama vile natumia vyoo vya shimo..Kumbe zile sakafu zimewekewa sensor..Mtu akitoka msalani choo kizima kinajiflash..Baadhi ya maji yanatoka kwa juu..

Mi nilivyopanda juu...choo kikajua huyu muhuni kashatoka tayari..Basi ile naanza kukata gogo tu nikasikia mimajii mwaaa kutoka juu..Suti yote ikalowa...

Baada ya hilo tukio nikasikia kicheko kutoka nje..Nikajua tu ni yule dada mfanya usafi..Wakati najifikiria cha kufanya nikasikia yule dada anauliza..Can i help u sir?..Nikaamua kubaki kimya tu nisijue la kufanya..

Baada ya kupita dk 10 bila kuniona nikitoka, akarudi na kuniuliza tena..Ikabidi tu nimuombe aende room kwangu akanilitee nguo na taulo..Akaniachia Id yake ili kunitoa uoga..Akaleta vitu nikatinga then akachukua zile nyingine na kuzirudisha room mi nikawahi kwenye semina..

Baada ya semina niliamua kumtafuta ili kumpa ahsante..Hapo ndo mfahamiano ulipoanzia
 
Nilikutana nae kwao china..Alikuwa mfanya usafi wa hoteli niliyofikia..
Siku hiyo ilikuwa ndo siku ya semina..Baada ya kuambiwa semina itachelewa kidogo kuanza,Nikaamua niende msalani nikapunguze uzito..Wakati naingia msalani ye alikuwa yuko nje anafanya usafi maeneo hayo...

Nilivyoingia ndani nikakutana na maelezo kibao yamebandikwa yakitoa ufafanuzi jinsi ya kutumia vyoo hivyo..Sikujisumbua kuyasoma sababu nilikuwa tayari nina siku mbili pale hotelini..So nikajua vyoo ni kama vilevile tu vya room kwangu...Nikachojoa nguo then kama kawaida yangu vyoo vya kukaa mi uwa napanda kwa juu kama vile natumia vyoo vya shimo..Kumbe zile sakafu zimewekewa sensor..Mtu akitoka msalani choo kizima kinajiflash..Baadhi ya maji yanatoka kwa juu..
Mi nilivyopanda juu...choo kikajua huyu muhuni kashatoka tayari..Basi ile naanza kukata gogo tu nikasikia mimajii mwaaa kutoka juu..Suti yote ikalowa...
Baada ya hilo tukio nikasikia kicheko kutoka nje..Nikajua tu ni yule dada mfanya usafi..Wakati najifikiria cha kufanya nikasikia yule dada anauliza..Can i help u sir?..Nikaamua kubaki kimya tu nisijue la kufanya..Baada ya kupita dk 10 bila kuniona nikitoka, akarudi na kuniuliza tena..Ikabidi tu nimuombe aende room kwangu akanilitee nguo na taulo..Akaniachia Id yake ili kunitoa uoga..Akaleta vitu nikatinga then akachukua zile nyingine na kuzirudisha room mi nikawahi kwenye semina..
Baada ya semina niliamua kumtafuta ili kumpa ahsante..Hapo ndo mfahamiano ulipoanzia
Na yule wa vifuniko vya asali?
 
Alianza yeye.
Ahahahahahha halafu sijuagi kwa nini wanawake huwaga hamuanzi, nyie ni kufa na tai shingoni.

Mi nilikutana naye akiwa anaosha vyombo kwa kaka yake. Wakati huo naenda anza first year UDSM.

Sikurudi hapo hadi nilipokuwa mwaka wa pili... akanikumbuka hadi nguo niliyovaa siku ya kwanza tunaonana.

Hilo likanishawishi na wakati huo class ni stori za kuandaa mchumba... mi nikaenda direct kwamba nitamuowa nikimaliza chuo. Nikaonekana muongo lakini ndo tunaishi hadi leo na watoto ju..
 
Ahahahahahha halafu sijuagi kwa nini wanawake huwaga hamuanzi, nyie ni kufa na tai shingoni.

Mi nilikutana naye akiwa anaosha vyombo kwa kaka yake. Wakati huo naenda anza first year UDSM. Sikurudi hapo hadi nilipokuwa mwaka wa pili... akanikumbuka hadi nguo niliyovaa siku ya kwanza tunaonana. Hilo likanishawishi na wakati huo class ni stori za kuandaa mchumba... mi nikaenda direct kwamba nitamuowa nikimaliza chuo. Nikaonekana muongo lakini ndo tunaishi hadi leo na watoto ju..

Yaa tuliexchange e-mails, niliporudi kazini alikuwa anaandika kila karibu kila siku, kwakua kulikua kuna kitu niliapply ikabidi niwe ninafunga e-mail yangu kila siku kangalia majibu. Nilijikuta ninapenda kusoma e-mails zake na kujibu.

Majibu yangu yalivyokuja nikamwambia bwana mimi ni mvivu sana wa kufungua e-mail kila siku, tukutane whatusp, from there things got better and better.
 
Yaa tuliexchange e-mails, niliporudi kazini alikuwa anaandika kila karibu kila siku, kwakua kulikua kuna kitu niliapply ikabidi niwe ninafunga e-mail yangu kila siku kangalia majibu. Nilijikuta ninapenda kusoma e-mails zake na kujibu. Majibu yangu yalivyokuja nikamwambia bwana mimi ni mvivu sana wa kufungua e-mail kila siku, tukutane whatusp, from there things got better and better.
...better and better and did you get ze ndoa..??
 
Haki ya mungu!!!! Mimi nilikuwa napenda saana movie kabla ya lakin nilipokutananae mara ya kwanza nilikuwa kwenye basi na tumekaa siti za pamoja sasa basi lilipofika sehemu ambayo sio yaani kukwama mhimu si nikaruka km km Jack noriis we we!

Si ikwa kisanga ngoja nichubuke paja hadi kwenye p*mbu lkn niliposaidiwa na wasamaria yaani(abiria) kwenda hospitali mbona hakuniacha hadi kupona kwangu lakin ilitaka moyo kwangu na kwake
 
Back
Top Bottom