Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mhali gani wapendwa katika JF? Pamoja na uwepo wa manjonjo mengi katika ulimwengu wa mapenzi, kizazi hiki kisichotabirika kimeanza kugeuza tendo kuwa kama uwanja wa vita badala ya starehe...
13 Reactions
129 Replies
19K Views
Jamani ndoa ni ngumu sana, ndani ya ndoa kuna mitiani mingi, watu wanavumilia mengi ndani ya ndoa. Tunaoishi nyumba za kupanga tunashuhudia mengi sana. Nyumba niliyopanga ni kubwa, tumepanga...
21 Reactions
131 Replies
11K Views
....
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Jaman shikamoon wakubwa! Habari zenu vijana! Maraharba ninaowazd!!! Jaman maada yangu nataka kuuliza kuna uwezekano wa mwanamke kubeba mimba akiwa amefanya mapenzi siku ya kwanza baada ya period...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Wapendwa habari ya jumapili Kama nilivyokuwa nimewadokeza hapo awali nilipendwa na mshikaji wa rafiki angu..tuakawa marafiki ila kutokana na mshikaji kuwa mpenda pombe na mwenye matumizi mabaya...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Hii mada nimeikuta somewhere.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] Leo nina swali dogo tu kwa ladies. Assume una wanaume wawili mmoja ni mzee wa kupetipeti, yaani utabembelezwa, maneno matamu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanajamvi! Natumaini mu salama. Kama kichwa cha habari kinenavyo. Mimi nimekuwa victim wa uhalisia huu. Nilikutana kwa Mara ya kwanza na dada huyu mwanzoni mwa mwaka huu. Katika bar moja...
5 Reactions
129 Replies
12K Views
Wakuu, Kuna Mzee kanipigia simu jana jioni kaniambia niende nyumbani kwake ana mazungumzo nami, Nikaenda, Mzee kaniambia yafuatayo, "Kijana nimepata taarifa kuwa upo katika harakati za Kutafuta...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu wanajamvi, Kama mnavyojua ulinzi ni kitu muhimu sana, hata nchi zinakuwa na jeshi ili kuhakikisha adui hapenyezi wa namna yoyote ile. Ulinzi huanzia ngazi ya taifa, kaya hadi mtu binafsi...
17 Reactions
201 Replies
19K Views
1. Mpe pesa hata kama hajakuomba na usimuulize kazitumiaje. 2. Usimuulize ulize maswali ya kijinga jinga, mfano ucmuulize ''uko wapi na nani na mnafanya nini? 3. Tengeneza distance na yeye, yani...
16 Reactions
69 Replies
9K Views
Nawapenda, Ni kawaida kufanya kautafiti juu ya mwenza unayetaka kuanzisha nae mahusiano. Inapotosha kujiridhisha na kuanza uhusiano ni busara kuacha kuchimba mambo yake ya zamani Ni...
2 Reactions
51 Replies
8K Views
Usiruhusu mtu yeyote akushushe chini. Achana na watu wanaokuchukulia kirahisi rahisi sababu hawana mchango wowote katika maisha yako. Waache waende wala wasikukoseshe amani ya moyo. Maisha ni...
16 Reactions
52 Replies
9K Views
.........
4 Reactions
147 Replies
10K Views
Hellow jf,baada ya yule man alonipa ujauzito kunilazimisha nitoe na mie kukataa hatimaye kanitext eti yeye alishanambia kuwa ana mke ambaye ndo huyo msichana alonambia kua yuko nae kwa hiyo...
1 Reactions
61 Replies
5K Views
Mademu wengine wana lawama...Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele...atamsuta "Umekosa nini Mwanaume huridhiki,Utamaliza Nyama bucha Ileile,kwani mi sikupiiii,si nakuuliza wewe Hasidi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni mtoto ambaye alizaliwa kwenye ndoa. Nilihisi mapema toka siku ambayo amezaliwa, ila sikufanya chochote. Mtoto alizaliwa wa kike na ndio uzao wetu wa kwanza. Ukweli mtoto hakufanana na mimi...
14 Reactions
164 Replies
16K Views
Hodi wanajamvi, Kwa zaidi ya miaka nimekua mfuatiliaji wa thread mbalimbali jukwa hili na nimejifunza mengi kwenu, naamini kwa busara zenu mtanishauri nini cha kufanya katika hili linalonisibu...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Unknown error occurred, page can't be displayed ,it may either be removed or hidden by the owner due to copyright ownership.!!!![emoji12] [emoji12]
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Nilikuwa na mpenzi wangu, tulipendana sana, nilimteka akili sana, tulifanya mapenzi kwa muda mrefu sana ikatokea siku nikajaribu kuingiza kidole nyuma nikaona ametulia, pepo likaniingia, siku...
11 Reactions
318 Replies
72K Views
Back
Top Bottom