Hakuna kitu ambacho kinaweza kukuachia shida na dhiki duniani kama kifo. Nyota yangu ilianza kung'aa nikawa darasa la nne baada ya kupata wastani wa A katika mtihani wangu, nikiwa sina hata ndala...
Salaam wanajf,kuna nyimbo mbili zinazotamba ktk mtindo wa singeli, moja inahamasisha kuwashughulikia mashemeji na nyingine ni malalamiko juu ya vitendo anavyofanya mke kwa shemeji...
Heshma kwenu wana jf..
Tiririka nayo hii
Nina rafiki yangu ambaye tushafanya mengi inshort ni moja ya best zangu. Yeye ana mke na mtoto mmoja na ana kamchepuko. Mchepuko wake na mimi...
Leo nimemsikia mtu mmoja akisema kuwa ndugu yao anaejiandaa kuoa, amepangiwa mahari ya shilingi milioni tano. Na kwamba ndugu wameamua kuchangishana ili walipe mahari hiyo kumsaidia ndugu yao...
Yaan kuanzia sekondari hadi chuo ukigusa tu ,hamna kukataliwa hii imekaaje hii yaani mmeyafanya mapenzi yawe rahisi na vijana wa mjini mmewafanya wasifikirie kuoa tena
Yaan ukitongoza leo next...
Waafrica HIV/UKIMWI tunafanya ni siri. Ukosefu wa kinga mwilini unachangia muamko wa magonjwa mengi kwenye mwili, kuanzia cancer, TB, magonjwa ya akili ect. Lakini ni kwa Afrika ni kumvunjia...
Kwanza kabisa nawasalimu wapendwa, kila mmoja apokee heshima yake.
Leo naomba niwashirikishe jambo hususani ni dadazetu, mnajua tunawapenda sana na tunawaheshimu na...
Mungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]...
Na sikitika sana kwa mke wangu kukosa hisia za kimapenzi, hua najiuliza maswali mengi sana ila sipati jibu.
Naomba ushauri nimfanyie nini ili na yeye awe na hisia.
Kuna binti nampenda Sana Mimi namfaham ila yeye hanifaham vizur maana shule zetu zilikuwa Jirani ndo niliko mjulia now ni mwalimu wa shule ya msingi mwanza na Mimi niko Dar nafanya kazi company...
Natumai mu wazima buheri wa afya wote mnaopenda Jukwaa hili.
Awali ya yote naomba nitoe pole kwa namna moja au nyingine kwa wote mlioguswa na msiba mzito wa Mzee wetu Samweli John Sitta, Mungu...
Habari ndugu zangu,
Ninakuja kwenu nikiwa na tatizo. Naomba mwenye ushauri wa kujenga anisaidie. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27. Nina msichana ambaye ninampenda sana naye sina shaka kuwa...
Ndugu zangu,
Mke wangu ni mmojawapo wa mwanachuo aliyechaguliwa kujiunga na chuo fulani hapa nchini. Nimeamua kuja kuomba ushauri kwenu kwa sababu upande mmoja wa roho yangu unaniambia usimruhusu...
Najua kila mtu na life style yake, kila mtu na mawazo yake najua nitakosolewa sana ila nashukuru Mungu mimi siyo mlaini kihivyo kwenye ukweli, nitasema maana dharau zimezidi na hii inatokana na...
Asikuambie mtu kujisitiri ni utamaduni wetu na huku kujisitiri kunaficha mengi sana, unaweza kumwona mtu kavaa vizuri ila ndani yake akawa mchafu sana wapo wanaume ambao wao kufua boxar kwao ni...
Wanaume kama tukijenga nyumba siku ya kudizain ceiling boad ni bora tumwachie wanawake maana wao wameziona zaidi kuliko sisi wanaume!![emoji86] [emoji86]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.