Utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa?

bongenyo

Member
Aug 2, 2016
50
125
Habari, bila shaka mu wazima.

Swali langu ni je utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa pindi mkikutana baada ya wiki moja au zaidi?
 

chankicha

JF-Expert Member
Jan 13, 2016
259
250
Habar,bila shaka mu wazma

swal langu ni je utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa pindi mkikutana baada ya wik moja au zaid?
Sio rahisi sana kujua ila unatakiwa kumjua vyema mumeo hasa ktk tendo la ndoa maana utaona tofauti tu. Unaweza ukahisi kitu then ukafanya utafiti kidogo kidogo. Haina maana ile mikito kupungua yawezekana keshatoka, zipo sababu nyingi zinazoweza kuchangia, so fanya uchunguzi.
 

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,329
2,000
Habar,bila shaka mu wazma

swal langu ni je utajuaje kama mwanaume katoka nje ya ndoa pindi mkikutana baada ya wik moja au zaid?
wala usihangaike utafiti unasema kati ya wanaume 10, 7 wanamichepuko wee mkumbatie tuu akupe haki ya msingi.........ya kukukuna aje home kwa wakati i mean akuheshimu wanaume wameumbwa kwa matamanio walahi hata atoke kushuka kifuani mwako saa hiyo hiyo akikatiza gigy mane kavaa kihasara anamtamani ................jitahidi kumfanyia mambo ambayo atakuwa anakutamani anakuwaza na kukukumbuka hata akichepuka anajishtukia na kujiheshimu


pole sana
 

MR MAJANGA

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
2,343
2,000
wala usihangaike utafiti unasema kati ya wanaume 10, 7 wanamichepuko wee mkumbatie tuu akupe haki ya msingi.........ya kukukuna aje home kwa wakati i mean akuheshimu wanaume wameumbwa kwa matamanio walahi hata atoke kushuka kiuani mwako saa hiyo hiyo akikatiza gigy mane kavaa kihasara anamtamani ................jitahidi kumfanyia mambo ambayo atakuwa anakutamani anakuwaza na kukukumbuka hata akichepuka anajishtukia na kujiheshimu


pole sana


Ni ukweli mkuu , maana siku hizi kumkuta mwanaume hatoki ni nadra sana ukizingatia siku hizi wanawake wanatongoza au wanakushawishi uwatongoze
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom