ibrahim Abibu
Member
- Oct 23, 2016
- 20
- 11
Na sikitika sana kwa mke wangu kukosa hisia za kimapenzi, hua najiuliza maswali mengi sana ila sipati jibu.
Naomba ushauri nimfanyie nini ili na yeye awe na hisia.
Naomba ushauri nimfanyie nini ili na yeye awe na hisia.