Sio kosa letu wanaume

Sio kosa letu wanaume

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,400
Reaction score
872,004
Mungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu mshana jr hebu dadavua una maana gani? au ndio umeungana na mh. mkuu kbs kuhalalisha ndoa za mitara?
 
Mungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HAWA(Wengi)............HUYU(Mmoja).....MSHANA ANAAMINI MUNGU ALIHALALISHA POLYGAMY
 
Mungu aliumba HAWA hakuumba HUYU! kwahiyo ni uonevu mabavu na ubabe usio na msingi kumtaka mwanaume awe na mwanamke mmoja [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Hata mimi nakubaliana na wewe. Mie mwenyewe kugandwa gandwa na suruali moja kila leo siwezi.

Shurti kuachiana nafasi ya kupumua na kuishi kwa afya sio kufatana fatana ma.ta. ko.ni kama mkia akuu.

Kwa raha zako na Kasie kwa starehe zake (huu ni mtindo wangu wa kuishi si wanawake wote)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kasie wee
 
Back
Top Bottom