emboaba
Senior Member
- Oct 5, 2014
- 143
- 117
Heshma kwenu wana jf..
Tiririka nayo hii
Nina rafiki yangu ambaye tushafanya mengi inshort ni moja ya best zangu. Yeye ana mke na mtoto mmoja na ana kamchepuko. Mchepuko wake na mimi tunafahamiana tena tunaitana shemej kama kawaida.
Sasa juzi kati mshikaji kaenda mkoani kikazi, sasa hivi inakaribia wiki ya tatu tangu aondoke. Toka aondoke sijakutana na shemeji yangu (mchepuko wa rafiki yangu)
Sasa juzi katumtuma mtu aje anisalimie full lawama eti sionekani mara ooh shem nimekumiss. Kama haitoshi kanitumia kabarua ndani hajaandka kitu cha maana zaidi ya tarehe yake ya kuzaliwa ambayo ni 16 June.
Hebu nipeni ushauri, nini lengo lake au anataka 'nizime taa'?