Hii ni zaidi ya kuimbiwa....
Mwisho wa juma hili nilikumbuka nyumbani, nikaja na ndege ya jioni na alfajiri nikaanza safari, kuna kiota kimoja nilikitembelea nje ya jiji la Dar es Salaam...
Wakuu kwema?
Kuna jamaa angu anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi huu. Sasa huyu jamaa pamoja na mkewe mtarajiwa kiukweli wana aibu sana hasa pale ambapo watakua wanaangaliana na ndugu zao...
Mzee Kawinga alikutwa akiwa ameuawa kwenye nyumba yake. Aliyetoa taarifa ya tukio lile ni jirani yake aitwaye Mzee Mpiluka.
Inspekta Kanje alifika kwenye eneo la tukio na timu yake ya uchunguzi...
Huyu mtoto sijui alikuwa na maana gani? Siku moja nikiwa chumbani kwangu, ghafla demu mmoja kagonga mlango kisha nikamfungulia.
Nina kawaida ya kuzima taa chumbani nyakati za usiku huku...
Ikiwa kuna wanawake matajiri kama wanaume na ikiwa kuna wanawake wana upeo mkubwa kuzidi wanaume na ikiwa kuna wanawake wanajua kutafuta pesa kutuzidi wanaume, je hii kauli ya wanawake wanayosema...
Kwema bandugu,
Hivi ndivyo ninavyojua kuwa katika viumbe wanaoitwa binadamu, wamegawanyika katika makundi makuu mawili, yaani "me" na "ke".
Leo tuanze na "me", huyu kiumbe ana maeneo makuu...
Za leo wadau! Poleni pia na msiba wa Mzee wetu Sitta!
Nikienda moja kwa moja kwenye mada! Mm ni kijana nina miaka 27, bado sijaoa. Sasa katika kipindi hiki chote cha usela wangu, nmekuwa...
Za asubuhi wanajamvi
Niseme tu ukweli toka moyoni kuwa JF imekuwa the only place ambayo najifunza mengi in all spheres of life. Mbarikiwe sana mnaojitahidi kuwa wazi katika mapito yenu.Leo hii...
Kwa kweli wadau hii hali inanisumbua sana nikimuona mwanamke ana chura mkubwa, mzuri, macho makubwa huwa anabadilisha mapigo yangu ya moyo, kila mwanamke wa hivyo natamani awe wangu nimmiliki...
Wakuu,
Baada ya kufanya uchunguzi yakinifu kwa kina na mapana,
na kubaini kuwa wanawake wengi weupe waliopo maeneo mengi
hawana weupe wa asili bali wamejikoboa kwa mkorogo,
Ndipo mmachinga...
Wadau habari zenu
Mke wangu amejifungua hivi karibuni, hivyo tuna mtoto mchanga nyumbani
Sasa dada wa mke wangu alikuja kwa ajili ya kumsaidia mzazi na kichanga, tangu amekuja amekua akiniita...
Na wakati mwingine utawakuta wanapewa tu mimba na kuendeleza umoja wa single mothers, lakini wadogo zao ni ndoa mwendo mdundo.
Lingine linalonishangaza ni wale wadada (27+) wanaohudhuria na...
Nilikuwa na mke wangu nampenda tena sana tu. Mwaka 2015 nilipata kazi katika kampuni moja ambayo inajishughulisha na mambo ya usafirshaji wa mizigo.
Nilipangiwa kufanya kazi kituo kimoja...
Habari zenu waungwana,
Naomba niwausie wanawake wenzangu ambao, wameolewa, wanaotarajia kuolewa na watakaolewa namna ya kujenga na kuunganisha familia yako.
Mwanamke unapoolewa kumbuka unaenda...
Mimi nadhani si busara kwa baba mzazi kuomba pesa kwa mtoto wake...Kumbuka baba ulimzaa mwana ukamlea na kumsomesha mpaka akapata kazi....Leo kumuomba fedha mwanako ukweli ni kujishusha hadhi...
Habari za weekend wakuu,
Nimekuwa katika mahusiano na wadada wengi sana, tatizo linakuja huwa sidumu na msichana kwenye mapenzi. Ninaweza kumtamani nikamtokea akinikubalia, nikishafanya nae...
Hongera zenu wa kaka na wababa mnaopenda usafi wa mwili na kinywa.
Unakuta mwanaume anaswaki asubuhi tu akiamka, baada ya hapo imetoka, mpaka kesho, jioni wakati wa faragha anataka tongue kiss...
Yaani kuna kafleva flani ambacho huwezi kukapata ukiongea naye ana kwa ana.....sauti zingine ni za wadada wanaotangaza flights schedules/bording gates kwenye airports mbalimbali ...aisee.....I...
Habarini za Jumapili,
Jana nikiwa nimetoka na wife jioni kwenda kupata dinner na Live Band nilikaa jirani na couple nyingine ambao kwa kuwaona tu nikawajua ni mke na mume. Tumekaa pale kama masaa...
HAMNA raha ya pekee kama kuwa kwenye mahusiano ambayo mume na mke au ‘boyfriend’ na ‘girlfriend’ wanaelewana vizuri. Ni vigumu kupata mtu ambaye mnaelewana kila jambo.
Sio lazima kama mwenzako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.