mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,040
Yaan kuanzia sekondari hadi chuo ukigusa tu ,hamna kukataliwa hii imekaaje hii yaani mmeyafanya mapenzi yawe rahisi na vijana wa mjini mmewafanya wasifikirie kuoa tena
Yaan ukitongoza leo next weekend mnajikuta tayari pichu imeshavuliwa kwa hewa
Aisee msitukubalie haraka [emoji12] mnatisha sana kwa kurahisisha mapenzi hadi wanawake wenzenu wanalio kwenye mahusiano wanawaogopa kuvunja ndoa zao