Jamani naombeni ushauri huyu demu wa kuzungu anadai tuoane halafu tukaishi kwao tuhame Tanzania.
Je, nikubali kuhama nimuache Rais wetu mpendwa Magufuli huku ameahidi kutupatia ajira?
Naombeni...
Picha zako zote feki, kila pozi umekaa nusu uchi, hizo zenye afadhali unajibinua binua tuone kalio na kalio lenyewe kama jiwe alafu dogo bado unaweka kidole mdomoni kama Stripper wa Much More Nite...
Wakuuu salama!
Wife kasafiri kidogo kaend kwao sasa kwa bahati mbaya nimebakia mm na mdogo wangu wa Kike na mfanyakazi! Sasa huyu mfanyakazi amekuwa mkarim sana kwangu hatari. Kana maneno mazuri...
The characters of each guy are different, indeed and I have not for one, followed the tradition of over respecting guys in my school or, around my community.
However, I think, a man should be...
Habarini Wadau..
Poleni kwa Msiba wa Mzee wetu Sita na Mungai. Wapumzike kwa amani, AMINA!
Kuna jambo linanitatiza sana, nipo kwenye mahusiano na binti wa watu mwaka wa 4 huu, tunaenda wa tano...
Kwa uelewa wangu mdogo nafahamu kuwa miongoni mwa maeneo katika mwili wa mwanamke ambapo pakipapaswa au kusuguliwa huwa panaamsha ashki ya kungonoka ni sehemu ya unyayo wa mguu, eneo la kisigino...
Wakuu, nimepata siri nzito juu ya wanaume kuwa na vichwa viwili.
Nilikuwa mahali ktk mapuziko ya weekend, mama mmoja akawauliza wanaume, kwann wanabaka vitoto vidogo?
kila mtu pale akatoa jibu...
Habari wandugu, poleni na majukumu ya kujenga taifa,
Leo nipo upande wenu dada zetu, wake zetu;
Hivi kwanini unakuta mwanaume unajitaidi angalau kumridhisha mpenzi wako kimapenzi na hata shida...
Najua wengi wataendelea kutokwa na povu ila wale wanaume wa shoka wanaelewa sana uzi, sifa ya mwanaume wa kweli ni muwazi kwa kila kitu maana hamuwezi kuwa na mwanaume akawa anakuficha siri zake...
Habari zenu wakuu?
Ni hivi katika mapenzi kuna baazi ya vitu ambavyo autokaa uvisahau kutoka kwa mpenzi wako je ni kitu gani ambacho autokaaa ukisahau kutoka kwa mpenzi wako?
Mimi binafsi...
Nadhani imeshawahi kukutokea once aidha ukiwa safarini au katika mkusanyiko fulani wa hafla ambao umehusisha jinsia zote ukakutana na mtu wa jinsia tofauti na yako ukajikuta upo interested naye na...
Salama wana jukwaa?
Juzi nilipokea simu ya shemeji yangu ikiwa na malalamiko juu ya kitendo kibaya anachotaka kukitenda ndugu yangu, kitendo chenyewe ni kuombwa kuzaa nje ya ndoa na Mzazi...
Karibu ujue kama mkeo au mchumba wako ni MUMAME, ama kama wewe ni mumame (ke).
UMAME kwa lugha rahisi zaidi tunasema ni kinyume cha MFUMODUME. Kwa maana hiyo huu mfumo wa kijamii yaani social...
Poleni na uchovu wa siku wandugu,
Imetokea mmekutana chuoni mnasoma course moja, mapenzi yamenoga mpaka mnamaliza shule mnakuja kuoana, wote mnafanya field moja let say wote maofisa wa kilimo...
Ni kijana flani hivi mtanashati sana, educated, gentleman. Nimekuwa nae kwa miezi kadhaa na nimemtambulisha kwa baadhi ya ndugu zangu (siyo ishu sana).
Mimi na yeye tunaishi mikoa tofauti of coz...
Natumai mpo vyema na wenye afya,
Hoja kuu hapa ninayotaka kujua ni kama kichwa cha habari kisemavyo; "je, ndoa ni chachu ya maendeleo"
Natumai nitapata majibu maana humu kuna wanandoa na wanajua...
Nimempata dada mmoja mitaa fulani, ni mzuri sana na she is sexy. Kiukweli tumependana nami nilivyomuona tu siku ya kwanza pale ofisini nilimpenda nikaomba tuwe na ukaribu. Tukaanza ukaribu basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.