moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 463
Huyu ni mwanaume wa pwani wilaya gani? Kisarawe, Bagamoyo, Mkuranga, Mafia au Kibaha?
Picha kama hiyo unaomba ridhaa ya nini ? Hivi ingekuwa imepigwa huyo ng'ombe ndio anachinjwa na huyo jamaa kwa ajili ya kitoweo tungekuwa tunaongelea habari hii humu Jf ?Mwenye picha yake kakupa ridhaa ya kupost?
Sio kwamba sijajua kuwa hiyo ni photo shop nimejua ...lakin vtu kama hivi ni thread zisizo na maanaPicha kama hiyo unaomba ridhaa ya nini ? Hivi ingekuwa imepigwa huyo ng'ombe ndio anachinjwa na huyo jamaa kwa ajili ya kitoweo tungekuwa tunaongelea habari hii humu Jf ?
Hata hivyo ni picha duka tu
Sema na wewe mleta thread kuweka habari hii MMU umeniacha na maswali
Huyu ni mwanaume wa pwani wilaya gani? Kisarawe, Bagamoyo, Mkuranga, Mafia au Kibaha?
Yerewiiiiiiiii huko basi ni SENGE remaHiyo ni pwani ya Lake Victoria, maeneo ya Musoma, Mwanza, Bukoba au Shinyanga ndio kuna Ngombe wa aian hiyo
Cc: moses Mwanja , Daudi Mchambuzi , Bujibuji