Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Anipm ili tuanzishe kibanda cha Baba & Mama N'tilie.
1 Reactions
3 Replies
929 Views
Evelyn Salt ni msichana mrembo ambae kafaulu kuiteka akili yangu kwa kiwango cha kuifanya akili yangu isione kasoro kwake,Umbo namba 8,rangi ya ngoz na weupe wa macho Yake ya mduara vinanikosesha...
6 Reactions
92 Replies
11K Views
Kwema wakubwa? Naomba tuelimishane hapa kidogo, Kuna binti aliwahi kuwa mpenzi wangu kama miaka miwili iliyopita, huyu binti ilifikia mahali akaniacha mwenyewe tu bila sababu za msingi huku mimi...
2 Reactions
122 Replies
10K Views
I am 32 years old and my girlfriend is 31 years old. We’ve been together for 5 years and now live together in a nice house. Sometime ago, I had serious medical problems and she gave me one of her...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
habari waungwana,,,anahitajika mchumba mwenye haya yafuatayo: - awe muislam na mwenye imani ya dini -kuanzia miaka 30 up to 40 -mwenye malengo hasa ya kuwa na familia na kuwa na kizazi chema...
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Vipi wakuu, shwarii? Mimi natafuta msichana, ambaye baada ya miezi kadhaa atakuja kuwa waifu wangu kipenzi na Mimi niwe husband wake, nahitaji mwenye umri kati ya 22 na 26, Mimi Nina 30, awe...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mimi ni kijana mwanaume mwenye umri wa miaka 30 nipo dar nina elimu ya juu ninatafuta mchumba mwenye umri kuanzia miaka 27 hadi 40 Karibuni inbox kwa aliye serious
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumain wadau mko poa, hebu cheki huu mkasa halafu unisaidie, kwa umri ni above 30, nilikuwa ktk mahusiano na binti mmoja 2007 tukapanga mipango ya kufunga ndoa lkn hilo likiendelea alikuwa...
5 Reactions
63 Replies
6K Views
Umri wangu ni miaka 23 na ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo kimoja hapa nchini.Ni mwanaume mchapa kazi na nwenye upendo wa dhati.Msichana nae muhitaji awe mdogo kiumri kiasi kuliko Mimi...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
nimekuwa nikisoma mara kadhaa habari ya samson na delila....aisee "mkate hata uwe mgumu vipi kiboko yake chai". usione baba jeskeri anaogopwa sana na watu na wakati mwingine anataka kuonesha...
5 Reactions
16 Replies
6K Views
So much so much love, So much .... So tell me can you feel it? So much so much yeah you know, .....Then make that visit So much so much love, So much Kasinde can you feel her? So much so much...
1 Reactions
1 Replies
525 Views
Mimi ni kijana wa kiume, umri wangu ni miaka 30. Nilizaliwa nje ya ndoa hivyo nililazimika kulelewa na bibi na shangazi zangu tangu nilipokuwa mdogo, babu alifariki nikiwa na miaka mitano...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Watafiti wabaini wapendao sana kujipiga selfie wana tatizo makubwa! Wanasayansi wameonya kuwa wale ambao hupenda kujipiga selfie mara kwa mara, wana hatari ya kuwa wapweke. Wanadai inaweza kuwa...
2 Reactions
33 Replies
6K Views
Habari zenu wandugu, Toka barua ya uchumba ilivyowasili nyumbani yapata mwezi majibu bado, ilikuwa hivi:- Nimepata mchumba ambaye ninayempenda, toka waje washenga kuja mpaka leo kimya kwa upande...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu Mimi ni kijana nimejiajili naishi dar es salaam kigamboni Nimekuja jukwaani Leo tushirikishane kidogo na hili tatizo langu ningeomba na ushauri wenu pia, Kuna binti nipo nae yapata...
1 Reactions
47 Replies
6K Views
No thread
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Umri wake usizidi miaka 24 awe mwajiriwa. Sifa zangu umri wangu 26 mwajiriwa serikalini elimu yangu diploma aliye serious tu anicheki 0658778422 au 0745645518
0 Reactions
4 Replies
990 Views
Habari za mchana huu wakuu, Katika maisha ya mahusiano kumekuwa na tabia ya watu kuachana bila kuambizana ukweli, mfano anayeacha atakaa kimya tu mpaka mwenzie anachoka, kusingizia umbali au...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni mara chache mno kukutana na mwanamke anayependa mwanaume mchafu, anayenuka jasho mwenye aleji na maji vijana wanapenda utanashati ili wawe kivutio kwa wengine hasa wanawake, lakini kuna...
6 Reactions
22 Replies
21K Views
Back
Top Bottom