Kuna binti nampenda Sana Mimi namfaham ila yeye hanifaham vizur maana shule zetu zilikuwa Jirani ndo niliko mjulia now ni mwalimu wa shule ya msingi mwanza na Mimi niko Dar nafanya kazi company moja hapa mjini, nashindwa nianzaje hadi anielewe kwamba sipo kwa ajili ya kupotezeana muda nataka awe mke.
Sihitaji matusi ukishindwa kushauri bila matusi pita pembeni itakuwa vzr zaid
Sihitaji matusi ukishindwa kushauri bila matusi pita pembeni itakuwa vzr zaid