Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za wakati huu wadau, Kuna jambo naona kama linaniandama sasa hivi na sijui kama ni kawaida. Ni hiki cha kitendo cha mwanamke ambaye ana uhusiano na mtu mwingine anaponiomba hela ya...
10 Reactions
68 Replies
8K Views
wakuu mimi nilikuwa sijawahi kupiga punyeto..na wala sikuwa nataka kujaribu maana nilikuwa naona watu wakitafuta kila njia kuacha... lakini wiki iliyopita niliona uzi unaohusu punyeto humu jf...
2 Reactions
38 Replies
6K Views
  • Closed
Nakofo mae/mbe heri ya moka mpya
0 Reactions
187 Replies
24K Views
Habarini wakuu. Babu kabla hajafa aliniachia kijana wake Wosia kuhusu namna ya kuishi kwa furaha na amani Duniani haijalishi kama ntakuwa na pesa au sitakuwa nazo. Wosia huu umenifanya nienjoi...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wasichana ni kama Ma-Apple yaliyo juu ya mti,yale Ma-Apple mazuri huwa yanakaa juu sana karibu na kilele kabisa,yale mabaya yananing'inia karibu karibu...Wanaume wanaona kupanda hadi juu kule sio...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Hellow, Naitwa Patrick wa Dar natafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo; Mvumilivu, mpole, mtiifu, mcha mungu, sina ubaguzi wa kabila wala dini, elimu, hata akiwa na mtoto sio mbaya, umri...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu. Wakuu mwenzenu nipo ktk kilele cha hisia za kupenda na kwa hakika huyu mwanamke ndiye nimemridhia moyoni.Sishindwi kusema hadharani kwamba ye ndo mwanamke nimpendae na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Katika global world hii leo wanandoa na hata wapenzi wamekuwa hawaaminiani kabisa kutokana na maendeleo ya kiteknolojia Wanaume weng wamekuwa wakiamini kuwa wakifanyiwa baadhi ya mambo ndio...
1 Reactions
33 Replies
8K Views
Naitaji mme ila kulingana wanaume wengi upenda kulelewa hapana nimeshindwa.
0 Reactions
7 Replies
854 Views
Habari wana MMU leo nimejikuta nina bahati mbaya kama nimelala na bundi, hapa ghetto namiliki ka laptop kangu na huwa na burn muvi zangu binafsi ili niwe naangalia kwenye ka tv kakubwa sasa leo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Hii ndo habari ya mjini na vijijini duniani kote... Hebu tujadilinii je ni kwamba wanaume ndo tuna shida sana au tumewaendekeza tu? Tuache ujinga there ain't pussy shortage if she won't f*ck...
1 Reactions
56 Replies
4K Views
Habari mda huu, Dada zangu mnapokuwa na wapenzi wenu mkifanya mambo yenu.Haswaaa...pale ambapo umefikia ...end point ..yaan ule utamu unapousikia hebu taja jina la mume wako..mara kwa mara...
1 Reactions
0 Replies
655 Views
Kwasababu mm wakati wife wangu ni mjamzito alikuwa anazingua mpaka basi nilikuwa nikiwaeleza wakubwa wakawa wanaiambie msamehe huyo ni mgonjwa. Lakini kuna jamaa yangu mmoja alikua ananicheka...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Asilima 41 hawana mahusiano mazuri na mama za wabwana zao. Hawazungumzi nao. Utafiti unaonyesha kati ya wanawake 10, mmoja wao ana ugomvi na mama mkwe wake.- mother-in-law. Utafiti uliofanywa na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Naombeni mnielimisheni kuhusu hili jambo,wakati mwanamke au mwanamme anapokalibia kufika kilele hutamka maneno flani flani hivi,kama nakupenda siwezi kukuacha,je haya na mengine yana ukweli wowote?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari zenu nyote, Mimi leo nimeamka nataka kusikia habari au shuhuda za watu wenye uzoefu mzuri tuu wa mahusiano, yani nipate hamasa, nimechoka sikia habari mbaya za haya mambo, yananitisha...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
................
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau habari za Mwaka mpya natumaini mu wazima wa Afya. Nafikiri wengi wetu ni wahanga wa mapenzi na tuna majeraha ya mapenzi. Tujadiliane je siku ulipoambiwa na mpenzi wako uliempenda kwa dhati...
1 Reactions
156 Replies
28K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 nimeajilriwa natafuta msichana wa kuoa anayejielewa awe na miaka 20-28 awe na shughuli inayomwingizia kipato aliye tayari tuwasiliane pm
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Maisha ni fumbo tata ambalo huwezi kulifumbua, kitu pekee kinachoweza kutegua fumbo hilo ni muda. Ilikuwa mwaka 1994, nilipoanza kidato cha kwanza, baba yangu ambaye ndiye tegemeo langu...
41 Reactions
118 Replies
20K Views
Back
Top Bottom