Kwa wanawake walioko kwenye ndoa tu

Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
500
Nyie wanawake mlioolewa hivi mnajua wanachowawazia waume zenu pindi ikitokea kakufuma na mchepuko?

Kati ya wanaume 40 walioulizwa ni hatua gani atachukua akijua mkewe anamcheat! Matokeo yako hivi:

Wanaume 37 wamesema watavunja ndoa zao, wanaume 3 wanesema wataua wake zao.

Yawezekana wengi wenu mlikua hamjui waume zenu watachukua hatua gani.
Je kwenu nyie mlilolijua hili na bado mna michepuko mko tayari kuvunja ndoa pindi waume zenu wakigundua?
 

Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
10,804
2,000
Wewe umekua wa 38 kati ya 41.

Wanaume tunacheat sana. Unaweza kucheat hata mara 50 ila siku ukisikia au kufumania kitu mubashara either utaua, utalawiti au utavunja ndoa. Tuwe tunakua fair kidogo wakuu..na wao ni watu wenye mioyo. Sometimes wanakuwa na uhakika 98% kwamba wanachotiwa lakini wanamezea tu.

Having said that, let me be wa 39 kati ya 42
 

LadyRed

JF-Expert Member
Mar 19, 2016
9,652
2,000
Umeoa halafu mwanamke anakusaliti iyo ni boonge moja ya dharau
Hapo indirect unapewa message kwamba una mapungufu makubwa ya kimwili, kiakili au kipesa
Unamtimizia haja zake ndani ya nyumba lakini?mwanamke si mwepesi kucheat
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom