Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ila wanaume punguzeni ubabe jamani,unamkosea mwenzio alafu unakua mkali sio fresh.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tazama inavyopendeza ndugu kuishi pamoja kwa upendo..... Huku tukisaidiana ktk shida mbalimbali za maisha.... Hilo ndio pendo kamilifu,pendo alilotuachia Yesu.... Muwe na Jumapili...
8 Reactions
27 Replies
6K Views
Sifa za mabwana wa Kisukuma. Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja. Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake. Hawahusu majungu...
13 Reactions
272 Replies
54K Views
Naombeni mchango wenu maana sielewagi zaidi naonaga tu watu wanalaumu tu "ohoo mwanamke mkubwa kuliko mwanaume atamuoaje?" Kuna tatizo? Na kama lipo ni lipi?
1 Reactions
70 Replies
17K Views
Mapenzi yanakufa maongezi yakifa...Mambo? Poa....Mzima? Mzima. Kila jibu ni neno moja moja, ndio maana mnaboreka alafu mnaaza kuranda randa na michepuko. Jifunze kupiga story na mpenzi wako maana...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Sijui kama ntakayoeleza ni sawa kuyaweka hapa. Boyfriend niliye naye kwa sasa ni wa tatu. Wawili wa mwanzo niliwabwaga baada ya tabia zao kunichefua. Wa mwanzo kabisa alianza tabia ya ulevi...
4 Reactions
54 Replies
9K Views
yaan unakuta mtu ana quote whole thread story . na mbaya zaidi unakuta story ni ndefu sana.. wengne inawachosha ku-scroll down.. especially wenye jf apps ndo inawachosha sana...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima ndio inatunza ndoa, sio upendo. Ile hali ya ulavidavi wa mwanzoni, yani watu mnakiss kama vile mnataka kumezana, ni kama bando la MB 10 haikawii kukata! Baada ya hapo, kinachomfanya baby...
6 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa sababu sometime unaweza ukaona umeoa kumbe umekalibisha tazizo nyumbani kwako. Au umekalibisha upinzani wa kweli nyumbani kwako kila utakalofanya ww kwake linaonekana ni baya. Au umekosea. Na...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Utakuta mtu anafanya kazi, ikifika lunch time anachomoka chap kwenda home akale viwili vya mwendokasi. Utakuta bosi anakaita ofisini kabinti kalikoajiriwa juzi juzi ofisini halafu anabana mlango...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Nawakumbusha tu dada zangu. Katika maisha yenu kuna nguo kuu nne za kuvaa. 1) Sare ya Shule 2) Joho la Graduation 3) Gauni la Harusi 4) Maternity Dress (Nguo ya mjamzito) NB: i. Ukiruka ya...
22 Reactions
51 Replies
4K Views
Wadau, Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na wataalamu wa Chuo kikuu cha Montreal, Canada, ni kuwa mwanaume ambaye ameshiriki tendo la ndoa na wanawake kuanzia ishirini na kuendelea ni nadra sana...
0 Reactions
81 Replies
13K Views
Naishi Kisarawe na nina fanya kazi Dar es Salaam. Ratiba yangu ya kuingia kazini inaeleweka ila ya kutoka haieleweki kabisaaaa. Kiutaratibu natakiwa kutoka saa kumi na moja jioni, lakini kwa...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Nina miaka 28, nimeokoka natafuta mke tutakayekubali kuishi pamoja. Umri kuanzia 22-26, elimu atleast form Six and above, awe mkristo na aliyeokoka. Ni PM kama utakuwa tayari Kukejeli si kuzuri...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi kweli limbwata lipo jamani,np kwa ndoa 6yrs now....Naambiwa na watu wa pembeni kila siku wife hakauki kwa waganga,mi sio mkaaji sana home.Nimeshamshuhudia wife akifungua kikaratasi fulani...
4 Reactions
21 Replies
5K Views
Mtoto wa watu umemtanguliza kiwanja hujampa hata hela ya kuanzia akifika mhudumu anamfata kumsikiliza lakini mama wa watu hana cha kuagiza mpaka akusubili! Masikini ya Mungu mtoto wa watu...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna ka ukweli ndani yake kuhusu wanawake wengi waliowahi kuishi sinza, wanawake hawa kwa kweli ni standard, mtu unakula kitu roho inataka, ni wasafi, wanajipenda, wanajituma kutafuta...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Bora ukabwe na mwiba wa samaki, yani ukimeza tonge lako moja la ugali wa muhogo kazi kwisha. Sasa ukikabwa na mpenzi mwenye wivu, kila sekunde anataka kujua upo wapi, upo na nani, na umevaa soksi...
1 Reactions
3 Replies
953 Views
1.Wengi wao ni single mothers 2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha 3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye...
18 Reactions
99 Replies
10K Views
Back
Top Bottom