Tazama inavyopendeza

Tazama inavyopendeza

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,955
Tazama inavyopendeza ndugu kuishi pamoja kwa upendo.....

Huku tukisaidiana ktk shida mbalimbali za maisha....

Hilo ndio pendo kamilifu,pendo alilotuachia Yesu....

Muwe na Jumapili njema....iliyobarikiwa....


1479620970541.jpg
1479620990940.jpg
 
Asante. Itanoga saana mkiwa navyo vya kusaidianaa. Ukitegemea binadamu mwisho watakuchoka.
 
Toka kwenye njia pana ya upotevu maana, Mimi mwenyewe mwenye avatar nipo njia nyembamba, Sitaki upotee
Weka Basi avatari itakayotushawishi tusiiache njia nyembamba yenye unyoofu....
 
Back
Top Bottom