STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,077
- 17,267
Mapenzi yanakufa maongezi yakifa...Mambo?
Poa....Mzima? Mzima. Kila jibu ni neno moja moja,
ndio maana mnaboreka alafu mnaaza kuranda
randa na michepuko. Jifunze kupiga story na mpenzi
wako maana mkizeeka alafu vifaa vyenu vya
kunaniliu vikagoma, kitakacho waokoa ni utamu wa story sio wa mechi kitandani