Hebu Tusaidiane Mawazo

Hebu Tusaidiane Mawazo

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,077
Reaction score
17,267
Bora ukabwe na mwiba wa samaki, yani ukimeza tonge lako moja la ugali wa
muhogo kazi kwisha. Sasa ukikabwa na mpenzi mwenye wivu, kila sekunde anataka
kujua upo wapi, upo na nani, na umevaa soksi za
rangi gani...unameza ugali wa jiwe gani kuondoa
maumivu?
 
Dah! Mkuu huna shughuli za kufanya nn?
Maana huu mwendokasi wako wa kuanzisha threads humu umezidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom