Facts za wadada wenye ajira nzuri

Facts za wadada wenye ajira nzuri

RFP

Senior Member
Joined
Jun 15, 2016
Posts
171
Reaction score
194
1.Wengi wao ni single mothers
2. Wana confidence sana, waliolewa, hawaheshim ndoa, wanajua hata ukimuacha anaweza kuendeleza maisha
3. Wabishi sana wanajiona wanakaribia hadhi ya mume kwenye famila kwa kuwa nae ana kipato
4. Ukiwaoa sio kwamba kila siku utapata haki yako, Mara atakuwa kachoka, Mara kasafiri kikazi, mara kachelewa kurudi kazini nk
5. Wengi wao wanaolewa wakiwa wakubwa, umri umewapita
6. Wana midomo sana sio wasikivu kabisaa
7. Wanaume wengi wenye such wives wana michepuko, either lazma house maid akusaidie
8. Wavivu sana kupika na kufua, na 100% ya watoto wao wanawapenda ma
 
Acha wenyewe waje!
 
Pia wanapenda sana kufuga kucha ndeefu
 
Afu akiwa boss ndo mtakoma..
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Naona ume generalise sana, mwanamke mlieoana kwa kupendana hawezi kufanya ushenzi kwa makusudi kisa ana kazi
Kama yupo wa hivyo ni hulka yake na wala sio wote
pengine unapenda kuwa boss wa mkeo na wala sio mume,
hivyo ukioa mke asiependa kuwa bossed kila mara unaona sio basi oa asie na kazi umfanye utakavyo, ndoa inatakiwa kuwe na kuheshimiana pande zote mbili
Sasa kama unataka umpelekeshe mtu utakavyo kisa hawezi kuji take care of, oa wasio jiweza, na siku wakijiweza ndoa inakufa
 
Usije ukasimamia kucha. Akikosea hataki kuonywa ni shida tupu. ukitaka kumuonya anakujia juu ili utulie maana hata yeye anaweza endesha familia
 
  • Thanks
Reactions: RFP
Mi Nina wivu sana midemu kama hiyo nitahisi napigiwa tuu
 
Back
Top Bottom