No Escape
JF-Expert Member
- Mar 7, 2016
- 6,662
- 7,834
Hivi kweli limbwata lipo jamani,np kwa ndoa 6yrs now....Naambiwa na watu wa pembeni kila siku wife hakauki kwa waganga,mi sio mkaaji sana home.Nimeshamshuhudia wife akifungua kikaratasi fulani wakati anapika,sikumuuliza kitu.Mi napotezea tu....Cha kushangaza mi sioni effect..mara nyingi akintibua ni makofi mpaka anaenda kwao.Kwa kifupi sijaona effect...