Sasa naanza kuamini Mungu hakupi yote bana,

Kwanza mshukuru mungu kwa kukupa mtu wa ndoto zako,na ukijishauwa tu ukampoteza utakuja mpata ambaye tako kama chips mbili[emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18] [emoji18]
 
Nimebahatika kupata msichana niliekua namuota tangu siku nyingi ila kuna kipengele kimoja tuu Mwenyezi Mungu hajampa.
-Mcha Mungu
-Mwenye akili za kimaisha
Nilikua nataka mwanamke wenye elimu ya afya,
-mweupe
-umbo za saizi
-awe mkristu
-mchangamfu, mwenye tabia njema
-ambae hajawahi kuharibiwa huko nyuma (kuliwa tiGO)
-Kibibi chake kiwe kinabana halafu maji mengi
-Apende ndugu zang
-Awe mchapakazi
-Asiwe anapenda kufanya mapenzi sana kwani nikisafiri atanisaliti ila awe anajitahid ananipa mimi kila nitakapo.
-Asiwe na maneno mengi
-Awe msiri kwwngu na kunipatia nitakacho na ajue mahitaji yangu
-Mvumilivu
-Awe mnene kidogo ili akizaa akianza kunenepa asizidi kipimio changu maana nataka mwanamke mnene kiasi ili iwe poa kumbemenda vyema na yeye mwenyewe aweze kuchapa kazi nzito
-Awe na wowowo tuu isiwe kubwa sana maana ataniletea matatizo niongozanapo nae barabarani.

Huyu mrembo nimemfanyia visa vingi sana kumpima kama kweli ndie yulee nimtakae na kwa kweli ndie mwenyewe. Kuna siku nilimfanyia jambo hatari sana nikajua ndio kwa heri ila sikuamini huyu mdada alitafuta kila njia kujilengesha kwangu na mimi kwa upendo niliokua nao kwake nikajikuta namsalimia hapo penzi likaanza tena.
Huu ni mwaka wa 4 sasa.
Jambo la kipekee sana kwake ni kutokupenda kufanya mapenzi sana au kupost picha zake facebook na mitandao mingine ya kijamii. Huwa hawezi kabisa.
Kuna kipindi tulipotezana kwa mda alienda mafunzoni huko walikua hawaruhusiwi kuwa na simu. Naona alipata mwanaume huko maana najua ni sehemu ambazo kutokana na ugumu wa kule mkiachiwa lazima cha kwanza mkakung'utane kwanza muondoe genye.
Maskini baada ya kurudi alibadilisha namba nikaamua kumuuliza imeenda wapi akasema imepotea nikaamua kumbana mwishowe nikaona kapost mtandaoni it is because of you.

Hapa nikajua huyo katupa hio lain ili kumpoteza huyo bwegwe*
Wakuu kwa hizo sifa hapo najua na mke kama sipo sahihi naomba mnisaidie.

ILA KILICHONISHINDA, NINYINA AMANI NA KINACHONIUMIZA ROHO NI HUYU MPENZI WANGU HANA WOWOWO JAMANI. MIMI WOWOWO NDO UDHAIFU WANGU YANI HATA NIFANYEJE LAZIMA NILIWAZE TUU. NIKIPITA BARABARANI LAZIMA NIPINDISHE JICHO, SHINGO AU MWILI MZIMA KABISA.
NDO UDHAIFU WANGU WANA MMU.

My baby ni flat mno yani kama pasi kabisa ha na imani hata akija kuzaa bado hapata ongezeka kitu.
Sitaki nimuumize rafiki yangu kipenzi nikishindwa kabisa nitamwambia udhaifu wangu ili nafsi yangu iwe na amani na yeye pia.

(Wana MMU hii ni true story ya maisha yangu na huyu mdada mengine yote niliyoandika yapuuzieni hayana ukweli wowote)

Naombeni msaada wenu.
Duh, chonga wa kwako bhana! Huyo wa hapo juu hayupo.
 
Nj

njoo kwangu mkuu ninalo la kutosha
 
Nilichoelewa mchumba wako ni askari.
My take; kuwa makini sana na wafunga buti maana hawakawii kukufanyia suprise.
 
Una matatizo ya akili brother. Mungu anakupa mtu wa kukupenda lakin ww sasa... inaonyesha unamatamanio ya kingono kuliko kumpenda zaid..
Kama unampenda unampenda na madhaifu yake
 
Tatizo humu JF kupost Uzi in free na laiti ingelikuwa tunatozwa kodi kwa kila unachokipost wengine mmgeacha kupost maana MTU anaandika Uzi page nzima ila utumbo mtupu
 
Achana nae tafuta mwenye wowowo vinginevo utamuumiza dada wawatu tu
 
Back
Top Bottom