Uzoefu wangu wa Wanaume: Matatizo yanayonikabili. Je, ni kawaida kwa wengine?

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
1,340
1,377
Sijui kama ntakayoeleza ni sawa kuyaweka hapa.

Boyfriend niliye naye kwa sasa ni wa tatu. Wawili wa mwanzo niliwabwaga baada ya tabia zao kunichefua. Wa mwanzo kabisa alianza tabia ya ulevi akawa hashauriki wala kuambiwa kitu. Nikamwambia basi tusisumbuane kila mmojawetu ashike njia yake. Tukaachana.

Wa pili alikuwa mzungu raia wa Denmark. Huyu tulipendana sana ila aliharibu pale alipoanza kuniomba ngono kinyume na maumbile. Nikaona ni mkosi mkubwa, na pamoja kwamba nilikuwa nampenda sana nikamwambia hio kitu hata kusikia tu sitaki, licha ya kufanya. Akaanza visa vya ajabuajabu mwishowe tukaachana.

Wa sasa ni mweusi mwenzangu ila naye ni full matatizo. Udhaifu wake mkubwa ni kwenye majambos. Kabla hajanza keshamaliza na hunichafuaga vibaya sana. Ila anajua sana foreplay na naridhika kabisa na foreplay yake. Ningependa zaidi foreplay imalizike kwa muziki mzito zaidi ila ndo hivo anaishia kunichafua tu.

Je, kuna namna ya kumrekebisha huyu ili aweze kumudu majamboz kisawasawa aache kumaliza kabla hajaanza? Sitaki kumwacha kwa sasa bado nampenda.
 
Jamani marrytina yuko wapi,kama uko karibu sogea hapa.
 
Last edited by a moderator:
i bet wa 2 alikuwa bora aisee ( i am kiddin)..
Any wayz ukitaka kumrekebisha huyu wa3 jaribu kufuatilia threads za MziziMkavu ama Mtambuzi ..Kiufupi kupata mtu sio mwanaume tu hata mwanamke aliyekamilika idara zote ni ngumu jaribu kwenda taratibu na huyo uliyenaye!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu boyfriend wako usimwache hilo sio tatizo, kinachotokea hapo ni kuwa anapokuwa anafanya hiyo fore play, yeye anasahau na kuwa pamoja na wewe, anatakiwa yeye kujitoa fahamu na kuhakikisha ni wewe unaye maliza, halafu yeye arudishe akili ukishamaliza ili ustarehe kwa kuingiliwa naye.Hilo ni hivyo kwa wanaume wengi wasio wataalamu.

Je kwani harudii round ya pili? Usijaribu kwambia wewe kuhusu hili utaharibu, utamfanya ajione weak kwako, kama unaweza mfanye asome hii thread, yaani ajue yeye labda wewe jifanye unamuuliza vijiswali kiaina ukimguide kijanja kama vile mnajaribu ukimpa moyo kuwa leo umechelewa safi etc.

Haya kila lakheri kwenye kuingiliwa unakotaka!!
 
dah!Huyo Ulienaye Ana Mapenzi Ya Dhati?
...kama Ndio,Husifikirie Kumuacha Kwani Tatizo Laweza Kuwa Kwako Mwenyewe Katika Mavituzi.
Jua Kuna Mambo Mengi Yanayomfanya Mwenzi wako Kuwahi,sababu moja Wapo Yaweza Ikawa Wewe Mwenyewe... Yaan Kumpa Mpenzi Wako Vitu Vitakavyomrusha Roho Na Kumfikisha Haraka.

Cha Muhimu Hapa Ni Kujadiriana Na Mpenzi Wako Kwa Ukarimu Na Upole Huku Ukianza Kwa Kumsifia Na Baadaye Utamwambia hukupendezwa yeye Kutangulia,baada Ya Hapo Msikilize Maelezo Yake Kwa Kumjali Na Mahaba Zaidi,
Hii Itamfanya Ajiamini Na Kushea Tatizo Lake Pamoja.

Natanguliza Pole Kwako.
 
hivi wadhani huu ni udhaifu? kama ana fore playni mzuri kwamba anakufikisha utakako, ishu ni kwamba na hii ni kwa nijuavyo mimi wanaume ambao si mafuska halafu hawafanyi mara kwa mara huwa ni watu wa kiherehere sana tu kwenye majambozi. watamaliza haraka kweli ila akisha zoea basi tatizo hili huisha.

pia kukuchafua huko miye sikuon atii manake wenzio tunakunywa na kukoga weye waziita uchafu kweli tuko tofauti sana aisee.
 
huyu wa 3 pia hakufai anaweza kufanyanya ukaingia majaribuni mwishowe ukamuona ukamuona hana maana kabisa.
 
Huyu uliye naye sasa ninavyomuona mimi anakufaa na tatizo linatibika....
Naamini yuko vizuri katika maeneo mengine na ndio sababu hujalalamika hapa. Kama tatizo ni kukidhi tendo la ndoa, basi nakushauri uwasiliane na MziziMkavu kwa tiba na ushauri........................
 
Last edited by a moderator:
hivi wadhani huu ni udhaifu? kama ana fore playni mzuri kwamba anakufikisha utakako, ishu ni kwamba na hii ni kwa nijuavyo mimi wanaume ambao si mafuska halafu hawafanyi mara kwa mara huwa ni watu wa kiherehere sana tu kwenye majambozi. watamaliza haraka kweli ila akisha zoea basi tatizo hili huisha.

pia kukuchafua huko miye sikuon atii manake wenzio tunakunywa na kukoga weye waziita uchafu kweli tuko tofauti sana aisee.

Asalaleee....
 
huyu wa 3 pia hakufai anaweza kufanyanya ukaingia majaribuni mwishowe ukamuona ukamuona hana maana kabisa.

so Unataka Atafute Wa Nne?
Hakuna mwanaume Hasie Na Kasoro,ila Tu Inafatana Na Weak Hiyo Iko Vipi!
 
Me nfikiri nawe unatakiwa ujifunze jinsi ya kudumu na wanaume! Na unatakiwa kujua no one is parfect, ukitaka kudumu nae hasa huyo watatu nenda nae taratibu ikiwezeka ni kufunzana kama unajua!
 
Kumbe hata uyo uliye naye unataka kumuacha baadaye? Hata kama ningekua na ushauri nisingekupa kwa sababu unataka kamchezo fulan sehemu ambazo watu wako serious!
 
kama umri wake ni chini ya miaka 35 mpe mda! Above 35 atapiga mechi zaidi ya saa moja! Ni-pm nikupe njia za kuondoa tatizo hili naturally.
Kuna mtu humu kasema usimuonyeshe mwenzako kuwa ana tatizo,hata kama hatapiga fasta kama kuku we mpongeze tu itasaidia kumpa ma-confidence....
 
Kumbe hata uyo uliye naye unataka kumuacha baadaye? Hata kama ningekua na ushauri nisingekupa kwa sababu unataka kamchezo fulan sehemu ambazo watu wako serious!

ushaona Eeh!
Maana sentensi Yake Ya Mwisho.....
(Sitaki kumwacha
kwa sasa bado nampenda.)
Inaonesha Ni Kamchezo Kake Huyu!
 
Back
Top Bottom