Habarini wana jamvi,tafadhari naomba jua kiundani au kwa anaejua kiundani tabia za wanawake au wasichana wanaotokea KIRUA VUNJO hukoo uchagani wanatabia gani??
Natanguliza shukrani zangu
jamani juzi kati nilikuwa saloon fulani ya kike mara akaingia dada mmoja akkaanza kumwadithia mwenziye.... hee shoga mwenzangu nimenuniwa huko si nimekosea kutuma meseji ya hawara wangu nikamtumia...
Jamaa mmoja hapa mtaani kwetu anakula dada mtu na mdogo wake wa kiume, huu ni udhalilishaji wa aina yake kwa mkewe na familia nzima, hata kama shemeji yako ana tabia za kishoga huwezi kutembea...
Wakuu
Mimi kuanzia leo naamini kuwa kama ulishawai kuwa na demu wako o level, A level hata university, na mkatengana nyinyi hamjaachana Bali mmepumzika tu kwa mda, na ukiwa na humu naye tu unaita...
Habari za J2 wapendwa,
Nimelifakari sana hili, moja katika hatari binadamu tunazochukuwa ni ile ya kwenda kwa boy/girl friend au kwa mchepuko ambao ni siri yako na kulala huko. Umeshawahi...
NIMEYAPENDA SANA HAYA MANENO
Mwanamke ni kama Jua unaweza
usione umuhimu wake, yaani kila
siku unaenda mjini jua lipo tu,
unaliangalia lakini huangalii umuhimu
wake kwako.
Wakati mwingine...
Mimi nina marafiki wa2, halafu hao marafiki wote tunakuwa pamoja, nikikaa na mmoja ananiambia namchukia yule, sijui hivi na hivi na pia nikikaa na huyo pia ananiambia anamchukia, wanachukiana ila...
Habari zenu kwenu nyote,
Je, kwa upande wako ni kitu kipi haswa kinakugusa au kinakuvutia kutoka kwa me/ke pale umuonapo au ukiwa karibu naye (kama mpenzi), mimi binafsi navutiwa na smile zuri...
After a long day of working!!
I warmly welcome you listening this
beautiful song I dedicate this to you!!
I want you always
Ooh Ooh Ooh
I want you always,
I want you always
People tell me...
naona kwanza jukwaa limechangamka baada ya kuliacha kwa taklibani two years TOPIC..kuna mjadala mkali tunabishana na watu hapa eti kati ya mwanamke wa kiafrika ,wakiasia(wahindi,wakorea n.k) na...
Kwa utafit mdogo ambao nmefanya asilimia 80 ya wanawake wanaenjoy zaidi romance kuliko kitendo chenyewe cha kuingiliwa. Wanawake wengi hupenda sana romance na hu enjoy sana kuliko kuingiliwa. Kama...
Habari,
Kwa mlioko kwenye ndoa tuambieni sisi ambao bado hatujaingia kwenye ndoa kati ya mwanaume na mwanamke ni nani mbinafsi, yaani kama ni kuwasaidia ndugu anataka ndugu zake tuu ndo...
Naona ingepitishwa sheria ya kufunga makofuli kwenye sehemu za kiume za wanaume nafunguo kuhifadhiwa na wake zao. hii ingesaidia kupunguza michepuko na kuzaa zaa ovyo nje ya ndoa..!
Heshima kwenu wanabodi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Mwaka Jana kipindi cha uchaguzi niliwashawishi watu wengi pamoja na familia ya rafiki yangu wampigie kura rais Magufuli...
Wadau,
Kuna msichana mmoja nilikuwa natoka nae mda kidogo kama kama miezi sita hivi, alinipenda lakini mimi sikuwa na mapenzi nae kivile kwa kuwa yuko ambae alikuwa na asilimia nyingi, kidogo...
Mwanaume anaekupenda inabidi ajitume kukidhi
mahitaji yako. Hela ya vocha upewe, uongee
umbea na mashosti. Hela ya saluni upewe,
ukachore nyusi na marker pen. Hela ya chakula
upewe, unenepe nguo...
Hivi, unaanzaje kumuita mke wako "mama"? Au mumeo " baba/daddy"? HOPELESS KABISA
unamuita MAMA, inamaana unaweza kumlala mama yako? Ama unamuita mumeo BABA/DADDY ina maana unaweza kumvulia chupi...
Habari za weekend wanakijiji, niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimejiuliza nimekosa majibu kadili siku zinavyozidi kwenda watu wengi wanakata tamaa kwenye mahusiano mwisho wa siku wanaona bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.