Unajua kwanini wadada wengi hupenda mabwana wa Kisukuma?

Unajua kwanini wadada wengi hupenda mabwana wa Kisukuma?

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,422
Sifa za mabwana wa Kisukuma.
  • Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja.
  • Wanajali, kwao hamna uchoyo, ubahili wala kujiuliza mara mbili kwa mpenzi wake.
  • Hawahusu majungu, wambeya hata wampelekee semi trailer la majungu kamwe hawasikilizi.
  • Wako fit kitandani na hawachoki. Wasukuma wanapiga mabao kumi na mbili na bado wakitoka hapo wanaenda kupiga puli mabao manne.
  • Hawana majisifu kama kina Mutashobya, Rugakingira, Rweyemamu etc.
  • Hawana roho mbaya wala za kwanini. lara 1 Mamndenyi hebu na nyie njooni mkolezeni wino.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom