Amekufanya nn mume wako?Ila wanaume punguzeni ubabe jamani,unamkosea mwenzio alafu unakua mkali sio fresh.
Wakati unaandika ulikuwa unasinzia?Amukufanya nn mime wako?
Dah, hili game linanifanya niwe bize.Wakati unaandika ulikuwa unasinzia?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mvizie mpige
Anakimbia na ahakikishe hakamatwi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Si akimkamata atammaliza!
Wife unaudhi sama. Umeshafika humu?Ila wanaume punguzeni ubabe jamani,unamkosea mwenzio alafu unakua mkali sio fresh.