inakera sana

inakera sana

Semrah

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2016
Posts
598
Reaction score
829
yaan unakuta mtu ana quote whole thread story . na mbaya zaidi unakuta story ni ndefu sana..

wengne inawachosha ku-scroll down.. especially wenye jf apps ndo inawachosha sana...
 
Kuna ukwel aisee mfano kuna watu wana quote episode nzima ya hadith dah
 
hivi ni kwamba kifaa ninachotumia kipo tofauti au! Maana mtu aliyenukuu maelezo marefu kwangu hufupishwa labda nitake mwenyewe kuona yote.
 
hivi ni kwamba kifaa ninachotumia kipo tofauti au! Maana mtu aliyenukuu maelezo marefu kwangu hufupishwa labda nitake mwenyewe kuona yote.
ni kwasababu unatumia browser.....
 
Back
Top Bottom