Habari Wadau
Nimeamini Mungu akitaka ubadilike lazima utabadilika tu,
Wiki kadhaa zilizopita katika harakati za kila siku nilikutana na binti mmoja anaitwa (Firdausi) nikamtongoza akakubali na...
Habari zenu wadau Leo kwenye safu hii nngependa tupeane ujuzi zaidi juu ya swala zima la kumridisha mpenzi wako wakati wa tendo sababu limekuwa ni janga kubwa tumeona ndoa nyingi zkivunjika...
Mwanamke anapotongozwa mpaka anafikia hatua anakubali hadi kwenda kutoa papuchi tena kwa mwanaume ambaye hata alikuwa hamjui anapata wapi huo ujasiri?
Tena hujui mtu ndani ya suruali yake...
Habari wakuu,
Katika mahusiano ya hasa nyakati hizi,mabinti au wanawake wamekuwa wakisisitiza swala la pesa kuwa ni muhimu sana na tena wengi wanadai ndio kipaumbele no 1.katika kuwashawishi wao...
Mchawi wa kike yupo uchi amenasa chumbani kwangu mida hii kutoka anashindwa, nimemwambia lazima niite majirani ameniomba sana msamaha atanipa chochote ninachotaka.
Lakini ana makalio makubwa si...
Mwanamke anasemekana ni nguzo ya familia yani huilinda na kubomoa nyumba yake kwa mikono yake. Je mambo mambo gani mazuri sana yapo kwa mwanamke na umekutana nayo katika familia au katika...
Jamani wapendwa naombeni ushauri,
Nina mpenzi wangu nimetoka nae tangia chuo kipndi tunasoma wote nilikuwa nampenda sana na bado nampenda ila yeye alikuwa ana upendo kama nilivyokuwa nao mimi...
1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao
2. Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo
3...
FLASHBACK
Miaka mitatu iliyopita bado npo chuo, npo kwenye party moja ivi nimeongozana na mpenz wangu(x sasa hivi), tukiwa tumepozi akaja rafiki yangu na msichana mrembo, akatutambulisha pale na...
Habari za mda huu wana MMU
Majira haya ya saa 4 usiku natoka kwa mupenzi ninaetarajia kumtia chuo (ndoa) aliniita nimpelekee hela ya kujikimu kwa matumizi.
Nimefika tumekaa barazani mara kapita...
Kwa viumbe wote kujamiana ni kwaajili ya kuzaa tu basi sio starehe. Kwa viumbe vyote kufika kileleni (orgasim) ni kwawanaume tu kwaajili ya kutoa mbegu za kiume ili ziende kurutubisha mayai ya...
Wajibu wa baba kwa mtoto wake mchanga
Written by Dr Francis Fredrick, MD
NAFASI YA BABA KUHUDUMIA FAMILIA: Baba wa mtoto siku zote ana wajibu mkubwa katika malezi ya mtoto tangu ujauzito mpaka...
Natafuta mchumba wa Kiislam, umri usio zidi miaka 22, awe mzuri na mwenye kujitambua, elimu nataka kuanzia form Six na kuendelea, nataka anaeendelea kusoma au aliyeajiliwa au aliye jiajili, kama...
Habari wapendwa,
Nilikuwa na mchumba wangu kwa miaka mitatu iliyopita,ana miaka 25 na mimi 27, nilishajitambulisha kwao na binti na kutoa mahari kama walivyopanga,kikubwa kilichokuwa kimebaki ni...
Baada ya kuumizwa sana na mabinti wa umri wangu nimeamua kurudi kwa mabinti dogodogo, kuna kabinti niko nako kwa sasa kana 18 ndio kameua form four juzi ila naona kama kananisumbua sana maana kwao...
Leo ni mwaka wa 318 tangu kutengenezwa kwa chupi ya kwanza, ila kuadhimisha siku hii ya leo hebu taja rangi ya chupi uliyovaa.
Usipotaja - hujavaa chupi
ukikasirika - chupi yako imetoboka
TUMSHAURI YAMEMFIKA HAPA: TRUE LOVE INAMAANISHA KUTOA NA KUPOKEA TUNAWAPENDA SANA ILA MSITUGEUZE GARI LA MSHAHARA PLZ!
Mimi naitwa Collins Mwakapalala, kijana mwenye umri wa miaka 30...
Habari za Jumapili,
Usiombe haya yakukute hata ungekuwa mbabe kama Scopion lazima uwe mdogo kama sisimizi.
Nina rafiki mmoja tumeshibana sana yaani ni zaidi ya rafiki au naweza kusema...
Ndugu wana jamvi,
Mimi ni kijana mwenye Miaka 30 nimeoa miaka mitatu iliyopita, kabla ya kumuoa mke wangu, tulikuwa wapenzi zaidi ya miaka 4 ndio tukaoana kwa harusi kubwa sana.
Tukiwa kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.